Kizimbuzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 1,569
- 745
Maneno ni ndugu zake kina damasi mallya,edmund mallya,yeye anaitwa felix mallya.na ni mchagga wa kibosho okaoni.nikusahihishe tuu dodoma hakuna mgogo anaeleweka kwa ela pale
Mpashe huyo! bila shaka huyo maneno ni ndugu wa Consolata Mallya wa Kibosho Okaoni pale Mringeni, Mloe, hapo Dodoma ni agent wa TBL, TDL, TANBEV n.k. Wagogo hawana cha maana bhana