Mabilionea Kanda ya Kati ni shida

Mabilionea Kanda ya Kati ni shida

Jamaa wa Kaskazini wanapenda kujisifu sana

Sijui MO na Bakheressa wangekuwa wanatoka huko kwao ingekuwaje?


Ingekuwa Poa Tu, ila kwa kuwa hawatoki kwetu, hatulazimishi wawe wa kaskazini wakati siyo wa kwetu, upo!
 
Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,

Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida

Nakutajia baadhi yao tu
A Bhanji
B Boss Ngasa
C Peter Fasion
D Kifimba na Kimbinyiko

Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu


Hapo muweke Bhanji tu peke yake na pia huyo gari zake zina namba binafsi zimeandikwa hilo jina

Sana sana muongoze na Kimbinyiko ndo anaweza kufuatia kwa mbaaliiii

Ila Bhanji huyo muhindi ndo fogo wa Dom. Wengine labda kina Meley(ROYAL V) Plate number.....ila huyu ametokea Tanga nadhani yuko dom kwa uhusiano wake na Shabiby. Wanakaaga Dom ila kulala kwa mama Gairo hio lazima

TIOT yenyewe nahisi kama inachechemea

Dodoma hamna mafogo zaid ya wabunge
 
Kweli kabisa ni wachaga watupu,niliwahi kuishi Dodoma,Mwez Desemba mji hupooza wote wanaenda kula Mbege,tambiko la mwisho wa Mwaka Uchagani.
Hivyo ni kweli Dodoma ina watu wako vizuri, yaani wana mkwanja,lakini ni Mangi


Ni jadi yetu mkuu
 
Hiyo Dodoma nimepiga sana harakati na mimi nikavuja jasho sana.. Ila ukweli mchungu ila usemwe.. Kuna wachaga wana hela chafu hapo.. Hii ipokee ama uikatae.. Ndo ukweli..

Na hiyo hiyo list yako kuna wachaga kama wawili hivi..
 
Hiyo Dodoma nimepiga sana harakati na mimi nikavuja jasho sana.. Ila ukweli mchungu ila usemwe.. Kuna wachaga wana hela chafu hapo.. Hii ipokee ama uikatae.. Ndo ukweli..

Na hiyo hiyo list yako kuna wachaga kama wawili hivi..
Wewe ni mushi haya sawa
 
Wachaga utajili wao kama wakinga tu magumashi mengi ukienda kule rombo kila baada ya nyumba mbili kuna mtoto taahira
 
Back
Top Bottom