PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,178
Duh!!!ahaa mabilionea ama ushuzi
Yule sio bilionea sema mdananda kwa mabilionea.Le MutuZ le Bilionea nae si anatokea iDodomya?
Nimeliona jina langu kwenye hiyo list nani kakwambia mimi ni bilionea usije fanya TRA waanze kuniletea matejo.Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,
Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida
Nakutajia baadhi yao tu
A bhanji
B boss ngasa
C peter fasion
D kifimba na kimbinyiko
Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu
Hao uliowataja kwa asili sio wa Dodoma hao wa kuja wote hapo, asili ya majina yao ni huko unakopakataa,. Huko Dodoma wamekuja kuchuma tuu.Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,
Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida
Nakutajia baadhi yao tu
A bhanji
B boss ngasa
C peter fasion
D kifimba na kimbinyiko
Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu
Mosh kumbe ni jiji mkuuKwenye maelezo yako mkuu kwa heshima na taadhima nakuomba uondoe maneno (Kanda ya Kaskazini) tafadhali.... Usilinganishe vitu vya kijinga na (URN) United Republic of North..... Ambapo ni nchi inayo jitengemea... Ndani yake kuna majiji kama Moshi na Arusha.....
Hao njaa kali tu tajiri anamabasi ...kweli dom kuna matajiriAisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,