Mabibo hostel..mabibo hostel jamani!

Mabibo hostel..mabibo hostel jamani!

Mjanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2011
Posts
1,238
Reaction score
325
Napenda kutoa tahadhari kubwa sana kwa wanafunzi wa UNIVERSITY OF DAR ES SALAM wanaoishi Mabibo Hostel na watu wengine wanaokaa maeneo hayo. kuna kijana ambaye anajifanya ni fundi Computer hasa Laptops na vifaa vingine vya electronics kama simu, pasi na vinginevyo. Huyu jamaa maarufu kama "RAS" ana ofisi yake karibu kabisa na Conner bar kwenye barabara inayoingia Hostel hizo. Ni mtu tapeli sana, ametapeli watoto wa wakulima waliojinyima ili angalau wapate laptops ili kuenenda na maendeleo ya sayansi na teknolojia na pia kufanikisha malengo yao yaliyowapeleka hapo chuoni, anaendelea na utapeli huo kila kukicha, na amekwisha kuwatapeli wengi zikiwemo simu na komputa mpakato (Laptops).
Hivyo nyie vijana wa Hosteli ya Mabibo kuweni macho na huyo tapeli.
 
Kwa nini hajachukua hatua ilhali mnaweza kudhibitisha uhalifu wake?
 
Dah huyu jamaa alishamliza mshikaji wangu mmoja hivi ..it was 2009... nashangaa mpaka sasa "anaswampa" tu!!!!!! puuuuuuuu
 
Kimsingi hatuna ushindani wala mie sina utaalam wowote wa mambo hayo. Nimekuwa nikiwaonea huruma hawa mabwana wadogo wanavyo laghaiwa na huyo jamaa!

Isije ikawa ni mshindani wako kibiashara. Mimi nadhani kama ni tapeli hapo external kuna kituo cha polisi
 
Inawezekana make amejaa kiburi sana hako kajamaa!
kama ameweka kiyuo mfukoni mwake..henzi zile za Mwl. angeliwa viboko vya makalio sana...
lakini na haka kaserikali ketu mhh!

Huyo jamaa noma ni tp balaa na pale kituoni wote rafiki zake
 
Napenda kutoa tahadhari kubwa sana kwa wanafunzi wa UNIVERSITY OF DAR ES SALAM wanaoishi Mabibo Hostel na watu wengine wanaokaa maeneo hayo. kuna kijana ambaye anajifanya ni fundi Computer hasa Laptops na vifaa vingine vya electronics kama simu, pasi na vinginevyo. Huyu jamaa maarufu kama "RAS" ana ofisi yake karibu kabisa na Conner bar kwenye barabara inayoingia Hostel hizo. Ni mtu tapeli sana, ametapeli watoto wa wakulima waliojinyima ili angalau wapate laptops ili kuenenda na maendeleo ya sayansi na teknolojia na pia kufanikisha malengo yao yaliyowapeleka hapo chuoni, anaendelea na utapeli huo kila kukicha, na amekwisha kuwatapeli wengi zikiwemo simu na komputa mpakato (Laptops).
Hivyo nyie vijana wa Hosteli ya Mabibo kuweni macho na huyo tapeli.

mimi mbona kama nimekosea jukwaa kwani hili ni jukwaa la matangazo au la elimu ....ngoja niaangalie adress afu narudi
 
sidhani kama nimelalamika, bali nimetahadharisha!
ukipeleka kifaa chako kwa ajili ya marekebisho, utalipa advance kisha ndo ntolee.. huoni cha pesa yako wala cha kifaa chako!
anawatapel vipi?mbona umelalamika sana bila kusema mbinu anazotumia!!!
 
Napenda kutoa tahadhari kubwa sana kwa wanafunzi wa UNIVERSITY OF DAR ES SALAM wanaoishi Mabibo Hostel na watu wengine wanaokaa maeneo hayo. kuna kijana ambaye anajifanya ni fundi Computer hasa Laptops na vifaa vingine vya electronics kama simu, pasi na vinginevyo. Huyu jamaa maarufu kama "RAS" ana ofisi yake karibu kabisa na Conner bar kwenye barabara inayoingia Hostel hizo. Ni mtu tapeli sana, ametapeli watoto wa wakulima waliojinyima ili angalau wapate laptops ili kuenenda na maendeleo ya sayansi na teknolojia na pia kufanikisha malengo yao yaliyowapeleka hapo chuoni, anaendelea na utapeli huo kila kukicha, na amekwisha kuwatapeli wengi zikiwemo simu na komputa mpakato (Laptops).
Hivyo nyie vijana wa Hosteli ya Mabibo kuweni macho na huyo tapeli.
we unaona hapa kuna maelezo yanayo onesha kuwa anatapeli vipi!!!!
 
Anawezaje kuwatapeli wasomi wetu hapo?. Bado haitoshi mkuu kuleta tu taarifa hapa, peleka hizi habari polisi makao makuu
 
Huyo jamaa ni Mshenzi kabisa,amewahi kunitapeli hata mimi pindi nilipokuwa hapo chuoni.Anajifanya fundi na kusema tatizo la computer yako anawezalitatua then ukisha mpatia pesa anaanza mbela na kukupiga tarehe kisha anasema tatizo limeshindikana.Jamaa Pumbavu kabisa.Wanafunzi kuweni macho msipeleke pc zenu kwa huyo jinga na tapeli
 
tunakusanya taarifa mkuu tutazifikisha.
make inasemekana anatamba kuwa kituo kidogo cha pale External kimo mfukoni mwake!
Thanks for ushauri!

Anawezaje kuwatapeli wasomi wetu hapo?. Bado haitoshi mkuu kuleta tu taarifa hapa, peleka hizi habari polisi makao makuu
 
Jambo la msingi, kama unaye ndugu ambaye yuko mazingira hayo mpe tahadhari!
Na pia sasa hivi anazunguka maofisini... wenye ofisi kuweni macho na mtu huyo!
pengine ni zaidi ya utapeli...na ukimwona huwezidhania..!

we unaona hapa kuna maelezo yanayo onesha kuwa anatapeli vipi!!!!
 
Huyo jamaa ni chama gani?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ni kweli usemayo...mi nilithibistisha hili KWA MACHO YANGU (2009) ...na nna ushahidi wa kutosha tu juu ya hili..ilibaki kidogo tumfanyie mbaya enzi zile sema ndo tulikuwa tunaelekea kumaliza chuo so watu tukawa bize ...la sivyo si ajabu hiko kibanda chake msingekiona leo..
 
Back
Top Bottom