Mabere Marando ni nani?

Binafsi hupenda sana uchambuzi wa Pasco , maana huwa hauna bias zozote zaidi ya uhalisia. Japo wengi hum'beza kwa kutoendana na baadhi ya wayapendayo au wapendayo kuyasikia.
Kudos to you Pasco

Km akianzisha thread anakuwa sawa....ila aki-comment ananitia sana hasira, maana mm nakuwa makini kusoma nn leo pasco kadondosha, lakn mwishoni naishia kupatwa na hasira tu b'se anaandika aandika kimipashopasho hv hayupo straight.........uwe staright mkuu Pasco
 
Last edited by a moderator:
may be historia ya kanchi kangu imenipiga kando.ilikuwaje hadi leo hii hawa mahaini wapo uraiani wanadunda?au ulipita msamaha wa Rais?

Una uhakika kua ulikua ni uhaini au kutofautiana kimtazamo? Na kipindi hicho hatua na vyombo huru vya habari.
 
Kwan wewe pasco ni nani mbona wanishawishi kirahisi rahisi hv? vp naweza kukufamu live ????.......
Mkuu Vunja Bei, hapa jf, hatuhitaji kufahamiana live, tunaunganishwa na hoja tuu, ila mimi nafahamika sana tuu kama Pasco wa jf, yaani Pasco mimi hapa jf ni kwa ajili ya jf tuu!, usinichanganye na mwingine yoyote no matter tunashabihiana vipi!. Huu ndio utaratibu wetu humu jf hakuna kujuana, hakuna kufutiliana nani ni nani, hapo tunakata tuu hoja!.

Ila pia kama unapenda kufuatilia nani ni nani, unaweza kwenda fb, huko mkaonane kwa sura!.
Ushauri wako nimeupokea, humu jf, tuko watu wa aina zote, wadogo, vijana na wazee, kwenye issue inayowahusu wote, naiweka ili wote waelewe, lakini kwenye issue za kikubwa kama ile ya "jiwe", then ni wakubwa tuu ndio wanaopaswa kuelewa, nyie wadogoi,(kiuelewa), mnatakiwa kupita tuu na kusonga mbele!.
Pasco.
 
Una uhakika kua ulikua ni uhaini au kutofautiana kimtazamo? Na kipindi hicho hatua na vyombo huru vya habari.

Ulikuwa uhaini mkuu
kutofautiana mtazamo ilikuwa ni akina Bibi Titi miaka ya sabini sio hawa kina Maganga na Tamimu et al waliotibuliwa dili na Marando! Hata hivyo uhaini nao (Mapinduzi) huanzia katika kutofautiana kimtazamo wa uongozi!
 
Wako watu wanapenda kupikiwa, wapakuliwe, walishwe, watafuniwe wao ibaki kumeza tuu!.

Mimi nikipika, nakupakulia na kukulisha, ila sikutafunii, nakulisha hayo mabonge mabonge utafune menyewe, ukiweza kutafuna umeze, ukishindwa uteme!.
Hata YEYE, hakuwatafunia tuu wale wanafunzi wake!. Aliwamegea mapande na kuwalisha ili watafune wenyewe!.
Pasco.
 

Kaka una mkwara.......haya bhana!!!!!
 

Naomba nikufundishe jambo dogo sie wadogo kiuelewa........nasi tulifundishwa na wakubwa wenzio enzi zileeeee
1.walituambia mtu anazungumza yaliyo ya moyoni mwake pale akiwa na furaha
2.walituambia pia kuwa mtu anazungumza ya moyoni mwake pale akiwa na "confrontations"

SIE WADOGO,(kiulewa) TUPITE TU NA KUSONGA MBELE, LINI TUTAKUWA WAKUBWA(kiulewa) KM NYIE WAKUBWA MNATUDIS? VP YANAYOJIRI HUKU NCHINI KWETU kwa njia ya vetting SIE HAYATUHUSU? au uelewa wetu mdogo unatupa haki ya kupiga kura tu na kupata matokeo tofauti yanayosadifu vetting?


Hayo tuyaache mkuu Pasco, sasa naomba kuuliza kiudogo.............vp upo fb nikuone sura huko?????
 
Last edited by a moderator:
Pasco endelea bana kuelezea kuhusu huyu marando. Nimefuarahi sana na ninakupata vilivyo kwanini sasa CDM wanahangaika je hawajui kuwa hawawezi kupata uraisi 2015?
 
Watu walidhani Marando zile namba kafanya kazi kubwa sana kuzipata ! Hata mimi kama TISS na nnataka namba za watu flani nampigia simu tu jamaa yangu wa makao makuu ya kampuni yoyoote ya simu na kumpa shida yangu na baada ya muda kila kitu nakipata kwakuwa hata wao TISS wana agents wao kule, ni rahisi sana mbonaa....
 
Pasco ina maana TISS walishasema 2015 ni Lowasa ambaye ni chaguo lako?.Acheni kuwapumbaza watu bhana,eti 2015 ni CCM,who are you?!!!!!
 
Ni kufuatia vitisho kama hivi, mkinyimwa vetting!, msilalamike!.
Pasco.

We jamaa naonaga unavyopeda kujifanya insider huwa unanichekesha sana. Ndugu humu siku tu mtakapoona Mabere Nyaucho Kapost huku kwa account yake ndo Mumuamini Pasco.
 

umenikumbusha ya mwaka 2010 pale mheshimiwa alipoenda kupiga magoti TISS wamfanyie vetting wakati mwanzo alikua anawadharau.mi ndio maana nimeacha siasa za kupigiana kelele naangalia mustakabali wa nchi na kufuatilia maendeleo tu
 
umenikumbusha ya mwaka 2010 pale mheshimiwa alipoenda kupiga magoti TISS wamfanyie vetting wakati mwanzo alikua anawadharau.mi ndio maana nimeacha siasa za kupigiana kelele naangalia mustakabali wa nchi na kufuatilia maendeleo tu

Nani huyo aliwapigia magoti tiss ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…