Mabere Marando ni nani?

tunahitaji tume huru ya uchaguzi tu,mwenye kura nyingi ndiye mshindi na sio mfumo wa sasa ambao unaibeba CCM.kwa hiyo hizo kauli za kina pasco naona maneno tu...umma ndio wenye nguvu na sio mashushushu wa TISS
 
Nchi itatawalika tuu, kwa ajili ya mandalizi ya 2015, wameongeza water canons kwa kila mkoa, tear gas, rubber bullets na vijana wataajiriwa kwa wingi sana mwakani, hivyo kuwaadabisha wote watakaotaka kutishia amani!.

Hili la matokeo yote kuhesabiwa kituoni na matokeo kubandikwa, haliwezi kukubalika, kwa sababu, Watanzania ni watu watulivu sana, sisi sio kama Walibya, Misri, Tunisia, au Wa Iraq, japo watu humu wanaisema sana CCM, na wanaonyesha wana hasira sana na jinsi CCM ilivyotufanya lakini kimoyomoyo wanaipenda!, kila mwaka wamekuwa wakiichagua na 2015, wataichagua tena, kupitia vetting not necerasily voting!, hivyo kura zote zikihesabiwa kituoni na majibu kubandikwa, vetting itafanyika vipi?.
Pasco.
 
huko niliko-highlite kote kuna logic sana,
 
Kwa kuongeza water canons na tear gas ni ushahidi tosha kwamba wanajua nchi haitatawalika. Nchi haitawaliki kwa mabavu au mtutu wa bunduki. Hili waulize makaburu wa Afrika kusini. Wanafunzi walipogoma kutumia lugha ya madhalimu na kuingia mitaani miaka ya 76 kwenda mbele ilikuwa ni dalili kwamba Afrika kusini haitawaliki tena. We jiaminishe kuwa Watanzania ni watulivu hata pale haki inapobakwa, utashangaa mwenyewe. Unasema kila mwaka wamekuwa wanaichagua CCM halafu hapo hapo unatuambia kura zinazopigwa sizo kura zinazotangazwa now which is whicho. Kila kitu cha dhuluma kina mwisho wake na ninyi mnaotegemea CCM kuendelea mamlakani kwa hadaa mtashangaa come 2015.
 
Ni kufuatia vitisho kama hivi, mkinyimwa vetting!, msilalamike!.
Pasco.
 
Majibu mtayapata October 2015!

Hahaha hahahaa hahahaaaa !
Kwa uwepo wa Mabere Marando pale CHADEMA , Kama ikienda IKULU mwaka huo wanaousema wao 2015 mnichome MOTO !

Kwani hata Uchaguzi wa mwaka ule 2010 Dr Slaa mnadhani hakushinda ? Ameshapewa chake Billions of Money mtabakia WANAHARAKATI tu....

Kuna siku moja mwaka 2010 Mzee mmoja mtu mzima alinieleza kuwa Chama cha Kukiondoa CCM madarakani bado hakijaanzishwa....nlimshangaa sana na sikumuelewaa LAKINI kwasiku zilivyozidi kwenda mpaka leo Mwaka 2013 NIMESHAELEWAA... Nimeshamwamini maneno yake, CHADEMA ina Mapandikizi mengi sana wao wanawaita MAKAMANDA....
 
Hapa ndio utajua raha ya Siasa .....unafki mtupu na Ushabiki wetu wa Vyama ...Mabere angekuwa CCM angetajwa hadi Hawara yake....sasa sababu sababu ana interest na watu..basi watu wanairuka thread kama message ya mkopo.

Hujakosea mkuu.
 
Ni kufuatia vitisho kama hivi, mkinyimwa vetting!, msilalamike!.
Pasco.
Vitisho havijatolewa na sisi. Vitisho vinatolewa na akina Mulogo, akina Nchemba, akina Zoka. We are simply just reading the situation as it is. In a true democracy you do not need a vetting system.
 
Kila sekta kuna TISS. Kuhusu Marando nadhani ni jinsi gani hawa jamaa wanatimiza kiapo chao vs matakwa binafsi au ya wanaowatumikia/ wanaowatuma.
 
In a true democracy you do not need a vetting system.
.
Hakuna kitu kama true democracy ndio maana tutakataza independent candidate kwenye urais ili kuwaepuka Populist leaders who might turn into the worst dictators!. Alexander The Great, Napoleoni, Hitler na hata Amin, walianza kama populist, the see what they turned up to be!.

Kama unajua kupima kwa jicho la mbali, just imagine jamaa ndio yuko Ikulu!, sipati picha!. Halafu nikimkumbuka na Queen Cleopatra!, ndio sipati kabisa picha!, wengine hatuna pa kuhamia!.
Amini nawaambieni, bila vetting, majuto ni mjukuu!. Diamond akigombea urais, kwa kutumia
"No voting without vetting!"
Pasco.
 
Anachosema Mkuu Pasco ni sahihi kabisaaa na Anachokisema Mkuu Jasusi ni sahihi kabisaaa....

Binafsi hupenda sana uchambuzi wa Pasco , maana huwa hauna bias zozote zaidi ya uhalisia. Japo wengi hum'beza kwa kutoendana na baadhi ya wayapendayo au wapendayo kuyasikia.
Kudos to you Pasco
 
Last edited by a moderator:

Unajua mkuu pasco, kuna mambo mengi mazuri naona unayafahamu, nami navutiwa sana kujifunza toka kwako kufahamu, ila mara nyingi naona una-comment kimipashomipasho hv, mfano tazama nilipopapigilia mstari watu wa kawaida km sie hatuwezi kukung'amua mapeam.....vp unaweza kujirekebisha ili wengine tujifunze toka kwako?????
 

COPY: Pasco mkuu acha mipasho toa lecture linaloeleweka, watu tunaacha kufanya kazi tusome commnet zako halafu unatutaarab!!!
 
Last edited by a moderator:

Una maanisha Edward Ngoyai Lowassa?????????????
 
Vipi kama vetting ikifanyika kabla ya voting na kupelekea ku-eliminate wasio sahihi mapema? Matokeo si itakuwa to destroy them??? Could possibly be what is happening now???
Just asking if you can understand it!

Sawa........mm naona its ok, km hawafai wakaondolewa mapema ni sawa na kukubaliana na nguvu ya umma, so hakuna tatizo hapo!!!
 
Mabere Marando -- Muasisi wa Mageuzi nchini; Mjumbe wa Kamati kuu CDM; Makamu Mwenyekiti wa Kanda ya Dar es salaam CDM; Anaongoza kitengo cha wanasheria wa CDM akisaidiana na Tundu Lissu na Profesa Safari; Mwanasheria Mwandamizi wa Kujitegemea.

Hiii inakutosha kwa leo.
 
Ndio maana nimewaeleza huyu ni mtu muhimu zaidi kuliko kiongozi mwingine yoyote wa Chadema!.
Pasco.

Kwan wewe pasco ni nani mbona wanishawishi kirahisi rahisi hv? vp naweza kukufamu live ????.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…