figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,010
- 64,045
Leo hii kariakoo trafiki alikuwa anaongoza magari sasa akawa anaruhusu bus la mwendokasi linalotoka posta kuelekea kimara sasa kuna bus la mwendokasi kutoka ubungo lilikuwa linakata kulia kuelekea kituo cha gerezani likifuata taa kumbe trafiki ndio anaeongoza magari hamadi bus zimekutana kwenye junction sasa ile kukwepana tu bus moja likaenda kulamba taaa za kuongozea magari .
Kama unavoona kwenye picha.
Mali imekula mali.Mbuzi wa bwana Joni shamba la bwana Joni
Kesi ya nyani na tumbiliMali imekula mali.
Ongea mkuu wa kaya.Mdogo mdogo
Tubishane kwa hoja tuuOngea mkuu wa kaya.
ila haya magari uendeshwaji wake jamani. nlikua nayakwepa tangu yaje mi na daladala tu..nlipoamua kuyapanda nlitaka kutapika.
Mkuu kikubwa ni kuzima taa ili madereva wawe waangalifu pale trafiki anapokuwa ana ongoza magariSiwahi kuona umuhimu wa trafic kuongoza magari sehemu zenye taa zinazofanya kazi vizuri na mara nyingi huwa trafic wanaongeza foleni sehemu zenye mataa. Trafic inatakiwa awepo kuhakikisha kila mtu anafuata utaratibu na sio kuongoza.
Sheria ifuate mkondo wake watoe matari ya hilo bus kwa kosa la kuharibu mali ya serikaliAjari tu kama ajari zingine
Mkuu taa zipo very accurate kuliko trafic, hii nimeichunguza kwa muda kidogo, siku kukiwa hakuna trafic foleni inatembea sana ila kukiwa na trafic unaweza kukaa kwenye foleni hadi 1.5hrsMkuu kikubwa ni kuzima taa ili madereva wawe waangalifu pale trafiki anapokuwa ana ongoza magari
Kuna wakati kama hamna gari upande mwingine ambako taa zimeruhusu magari kupita na traffic yupo basi anaweza kuruhusu upande mwingine magari yapite ila kama alikuwepo na kuruhusu basi hakuona ukaribu wa gari lingine.....ila ni bahati mbaya tuSiwahi kuona umuhimu wa trafic kuongoza magari sehemu zenye taa zinazofanya kazi vizuri na mara nyingi huwa trafic wanaongeza foleni sehemu zenye mataa. Trafic inatakiwa awepo kuhakikisha kila mtu anafuata utaratibu na sio kuongoza.