Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

... uko sahihi. Probability ya gari T 605 DTR kugombaniwa na abiria ni kubwa kuliko T 605 BXY hilo halina ubishi regardless of brand!
unapanda DTR ila mwisho wa safari APN imewaacheni saa nzima.

Abiria sio wote huangalia huduma za ndani ya basi bali wengine huangalia gari ya kuwahi
 
Nimeingia stand ya mkoa Ubungo last week nikaona Abood amepanga YUTONG kama nane hivi, mchanganyiko wa single na double axle, sasa sijui Abood nae hajui biashara ya magari?...
Abood hizo yutong kaziweka ruti fupi fupi


Dar to Mwanza kuna zile scania
Dar to Tunduma scania
Morogoro Mwanza scania
 
Hii Ni gemilang body original, Botwana Kuna wababe wanazo hizo , sio hizi huku za Ava tunazodanganyana za akina sauli . moja ya sifa za gemilang Ni kioo kimoja Cha mbele na wiper zinazotazamana

Sent
Hii sio gemilang ni tourismo
 
Umeongea kishabiki na sio kibiashara. Kibiashara Scania hailipi kama Yutong maana yana bei kubwa sana mara mbili ya Yutong. Ndio maana unaona kampuni nyingi zili-opt kwenda kwa mchina ili ziingize pesa Zaidi. Ukiangalia kishabiki shabiki utaona Scania ni bora ila kama wewe ni mfanyabiashara mchina ana faida
je hayo makampuni yenye michina pure yamefikisha muda gani kwa gari hizo hizo bila kubadili injini wala kuyauza?

njoo uwaangalie OSAKA wana muda gani na zile scania zao

CITY BOY naye ana muda gani na scania zile zile.

niambie DAR LUX pia OTA na ILYANA wana hali gani.

Achana na shabiby ama feo ambao wao huuza baada ya muda flani na kuagiza zingine
 
Wewe acha hizo mambo je unajua benz ziko za aina nyingi ujue kuna za safari ndefu na safari fupi sasa wewe nenda kanunue benz atego usipokuja hapa kulalamika kwamba benz haidumu.katika gari jiwe hamna kama benz na katika gari legelege hamna kama volvo
hata SCANIA zipo hivyo hivyo
 
Unataka kusema nini? Mabasi yote yamefungwa speed limit, barabarani Kuna touch, huo mwendo Ni upi? Issue kubwa hapo Ni unafuu wa manunuzi na uendeshaji wa mabasi ya kichina basi
Kama umegundua, hizi speed limit huwa zinasoma tofauti kulingana na aina ya mabasi, sijui chanzo ni nini ila scania kupiga alarm unakuta ipo 86 kph au mengine hadi 89 ndo yanapiga alarm
 
VTS kwa sasa LARTA wamezuiwa na mahakama wasiatoe adhabu kwa madereva wala wamiliki hadi kesi ya msingi ikiisha na itategemeana na maamuzi ya mahakama.madereva walifungua kesi kuipinda VTS
 
banz ni bora kuliko scania


gharama za kuligharamia benz katika service ni kubwa kuliko scania


scania waliteka soko kwakua walileta na vipuri kwa wingi
Soma trucknet forums , uone Benz inavyolalamikiwa , Cha kwanza kabisa ni powerless , sio comfortable,

Kitu pekee inachoaifiwa ni fuel figures ipo vizuri sana kwenye Hilo , japo wenzetu huko ulaya hawaangalii factor moja tu
Life span ya benz haifikii scania hata kidogo.
 
Wewe acha hizo mambo je unajua benz ziko za aina nyingi ujue kuna za safari ndefu na safari fupi sasa wewe nenda kanunue benz atego usipokuja hapa kulalamika kwamba benz haidumu.katika gari jiwe hamna kama benz na katika gari legelege hamna kama volvo
Kiduku , unaifahamu habari ya Volvo? Kwamba ni lege lege 750 hp@3550Nm torque?

Unafahamu the latest Mercedes 2020, 1863 ambayo ndio the top specs Ina Power rating za scania R620 ambayo ipo barabarami toka 2008?
Kukusaidia tu Merc 2020 , 1863 mirror less Ina 630 go na torque ya 3000Nm.

Scania R620 V8 ya 2008 Ina 620 Hp @2900Nm

Merc zilikuwa ni na zitabaki kuwa gari popular lakini haimaanishi kuwa ni gari bora.
 
Kiduku , unaifahamu habari ya Volvo? Kwamba ni lege lege 750 hp@3550Nm torque?
Unafahamu the latest Mercedes 2020, 1863 ambayo ndio the top specs Ina Power rating za scania R620 ambayo ipo barabarami toka 2008?
Kukusaidia tu Merc 2020 , 1863 mirror less Ina 630 go na torque ya 3000Nm
Scania R620 V8 ya 2008 Ina 620 Hp @2900Nm

Merc zilikuwa ni na zitabaki kuwa gari popular lakini haimaanishi kuwa ni gari bora.
Kutokana na kuwa na high torque ya 3550Nm na 750HP ni wazi katika ku climb milima ina better perfomance mkuu? Au pia itagemeana na power train yake?
 
Back
Top Bottom