Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mchina yule yule wa tecno, itel na infinix ndiye yule yule wa zhongtong, higher, youtong hajawahi kuwa serious kwenye kazi.

Basi kama lake linauzwa mil 900,yeye anaunda lake anauza ml 250, halafu mtu anakuja kubeza scania/ benz/ volvo si lolote si chochote, basi unamuangalia halafu unfanya ihiiiiiiiiiiiiiiiiiiii (kwa sauti ya magu).
Mchana haepukiki ndugu. Unaweza kujikuta umevaa Mchina toka soksi mpaka kapelo. Kuangalia exports za China kwenda US za kuanzia computer hadi vifaa vya ujenzi utachoka.
 
Mchana haepukiki ndugu. Unaweza kujikuta umevaa Mchina toka soksi mpaka kapelo. Kuangalia exports za China kwenda US za kuanzia computer hadi vifaa vya ujenzi utachoka.
Shida ni viwango,kanunue tshirt ya guchi ya kichina ya 20 elfu,mwingine anunua guchi daraja 3 kwa 70 elfu,kisha wote anzeni kuzivaa,miezi 3 wewe yako haitamaniki,kama ilikuwa nyeusi itakuwa imekuwa ya ugoro nk.

Tunawashukuru kwa kutufanya tung'ae na kugusa vitu vya ndoto zetu,lakini visivyo imara.
 
Mkuu samahani unaizungumzia ile Rungwe DNN iliyokula mzinga pale Iyovi?

Kama ndio yenyewe basi hao jamaa ni nyoko maana kila ukiicheki hujui kama ilikula mzinga tena uso kwa uso.
Replica inafanyika mkuu zipo replica mpaka za gemilang kwa modern ila gemilang kama gemilang wana asembly na inafanywa na AVA mombasa hao jamaa hawajihusishi na aina nyingine yoyote ya body ni gemilang tuu elewa nachokuambia futa unachokiamini ni cha uongo, gemilang ile face hata huko kenya gari ikigonga hawawezi irudishia ile sura ni gharama sana hapa bongo naona ndio kuna mafundi watundu ile rungwe waliirudishia ila angalia tashriff na burdan wameshindwa zirudishia sura halisi
 
Mkuu samahani unaizungumzia ile Rungwe DNN iliyokula mzinga pale Iyovi?

Kama ndio yenyewe basi hao jamaa ni nyoko maana kila ukiicheki hujui kama ilikula mzinga tena uso kwa uso.
Ndio ilikulana na fuso bus kama sikosei
 
Mchana haepukiki ndugu. Unaweza kujikuta umevaa Mchina toka soksi mpaka kapelo. Kuangalia exports za China kwenda US za kuanzia computer hadi vifaa vya ujenzi utachoka.
Ukupiga hesabu vizuri hutaona faida ya mchina ana gati modern sawa Ila hazidumu

Sent
 
Bivi mkuuu kinachofanya gari body iwe mkataba muda wote ni chasis au nini maana kama bidy atatumia za mchina inakuaje?
Kilimanjaro amenunua body za dar lux marcopolo g7 asia star weichai katoa chasis za asiastar weichai katoa ameweka chasis ya scania p310
 
Bivi mkuuu kinachofanya gari body iwe mkataba muda wote ni chasis au nini maana kama bidy atatumia za mchina inakuaje?
Gari ni utunzaji wa tajiri mwenyewe tuu body za kichina ziko vizuri tatizo ni huko chini ndio hakufai
 
Juldan motors zambia, pioneer Zimbabwe na wengie wanazo yutong zenye chasis za scania f310HB
 
Back
Top Bottom