Ibofwee
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 1,305
- 2,449
Umeongea pumba nyingi, point ya 114 imekushinda. Freys ile ni R420 unaijua?
Story zenu za kina mama debora sizijui
Story zenu za kina mama debora sizijui
Unamjua mama Debora wa humu? wewe na yeye mko kama kurwa na doto, pete na kidole.. mnatumia 24hrs kutoa comments zilizojaa , hate, hasira, attacks, povu.. sijui hua mna tatizo gani, popote pale mkitia mguu , lazima mfanye moja wapo ya hiyo niliyotaja
maisha hayapaswi kua hivyo, mtakufa kabla ya wakati wenu, social media haikua na maana hii ambayo mnaonyesha, maisha ni mafupi, enjoy every second of it, kutembea vifua vimejaa hasira chuki , unachowaza tu ni nani ukamwangukie leo.. .. sio maisha hayo bro, anyway..poleni