Mabango ya Samia kwenye mpira ni ya nini sasa kama sio ushamba?

Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana.

At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi.

Kenya hakuna bango la Kasongo watu wako busy na mpira.
Hii nchi ina ushamba mwingi sana Kila kona ni mabango tu ya mtu mmoja Kati Kuna miladi kibao unakuta sehem ya mladi flan pemben bango la mama Jose asee
 
Ujinga unaongezeka kwa sababu wajinga nao wanaongezeka. Tanzania watu wanaogopa kuandamana, lakini wangejua kuwa wangeweza kutumia mpira kuonyesha kupinga kwao serikali.....
Ukitenda na bango la NRNE unapewa kesi ya uhaini unakuwa mshtakiwa mwenza wa TL
 
Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana.

At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi.

Kenya hakuna bango la Kasongo watu wako busy na mpira.
Vipi yule jamaa wa INEC ametoa kibali au?

No reform No Election
 
Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana.

At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi.

Kenya hakuna bango la Kasongo watu wako busy na mpira.
Anabweda.
 
Popote penye attention inabidi Kiti kikuu kiwe recognized, We Kama Ile Boti ya ambulance tu ilivo trend wakaweka picha zake unashangaa Mpira ambao una draw attention countrywide
 
20230525_105432.jpg
 
Magoli ya vichwa na penalty ya Zimbwe na Adenado Ya mama
 
mama ndio anaupiga mwingi peke yake barani Afrika

chadema hawamini macho yao tunaongoza mbili mtungi huko
 
Ni kiashiria cha Bibi kutokubalika. Watanzanzia wamemkataa.
 
Kibaya lazima kijitangaze kwa nguvu zote, kujitangaza ni jambo analoweza kufanya kwa usahihi sana
Mbaya zaidi pamoja na nguvu zote hizo ndo anazidi kukataliwa!
 
Back
Top Bottom