The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,189
- 22,193
Hao ni wapuuzi wakubwaHuu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana.
At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi.
Kenya hakuna bango la Kasongo watu wako busy na mpira.