Mabango ya Samia kwenye mpira ni ya nini sasa kama sio ushamba?

Huwa sijuti kuangalia mpira wa ulaya tu, huu utopolo wa bongo sinaga mpango nao.
Na kwanini usihamie tu Ulaya ukaachana na kabisa na mambo ya utopolo wa bongo? Na kama utabaki basi jua wewe ni zaidi ya mjinga, mpumbavu, mshenzi na takataka ambayo baada ya leo sitakuwa na sababu ya ku react kwenye post yako yoyote mpaka utakaposema uliishahamia Ulaya!
 
Wewe ndo akili Yako ndogo unashindwa kuelewa nini kinaendelea hapo, wenye akili wanajua wanachokifanya, we endelea kuwaona wajinga alafu mipango yao inaenda kama ilivyopangwa
 
Mipango ya Wajinga? Count me out aiseee
 
Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana.

At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi.

Kenya hakuna bango la Kasongo watu wako busy na mpira.
Poor country
 
Kwani Lucas mwashambwa na yule tallalilia sijui tlatlahira wanasemaje?
 
Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana.

At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi.

Kenya hakuna bango la Kasongo watu wako busy na mpira.
Gerson Msigwa ni mjinga na mpuuzi kuwahi kutokea🚮🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom