Mabango ya CCM Mjini

Mabango ya CCM Mjini

Njanga Tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
843
Reaction score
655
Jiji limependeza sasa ni Magufuli na kauli mbio Hapa kazi tu. Mabango yametapakaa kila kona matangazo ya voda tigo airtel tupa kule.

Najua hayo mabango ni ya kampuni binafsi na kodi hukusanywa na halmshauri husika sina shaka na hilo.

Ila CCM wajanja mmechukua mabango ya sehemu nyeti zote UKAWA sijui wataweka wapi mabango yake.

#Lowassa 2015
 
Kila mtu anaemtu wa kumchaguwa mabango ya nn, angalia sera
 
Lowasa picha zenyewe za kuweka kwenye Mabango hana, ndo anazitengenezea Gongolamboto, Tandale, Tandika na kwingineko. Aliisahau hiyo part ya Mabango na matangazo.

Kwa jinsi anavyofahamika sijui kama kutokuweka mabango kutamkosesha kura...
 
Jiji limependeza sasa ni Magufuli na kauli mbio Hapa kazi tu. Mabango yametapakaa kila kona matangazo ya voda tigo airtel tupa kule.

Najua hayo mabango ni ya kampuni binafsi na kodi hukusanywa na halmshauri husika sina shaka na hilo.

Ila CCM wajanja mmechukua mabango ya sehemu nyeti zote UKAWA sijui wataweka wapi mabango yake.

#Lowassa 2015
Kama hadi leo hujafanya maamuzi unategemea mabango ndipo umjue rais wako ni mtu wa kuhurumia sana.
 
Mabango ya nini wakati hata watoto wadogo wanamjua lowasa ni rais
 
hana lolote,kwaanza ata huo mvuto wa kuwekwa kwenye mabango anao?inshort hana mvuto na wala hauzike kwenye mabango na ndio maana haoni umuhimu wa kuweka mabango mjini.mamvi kwisha kabisa na ndio maana amebuni njia nyingine ya kufanya kampeni ya uvamia kwenye vituo vya daladala.wizi mtupu hatudanganyiki kwa hilo.
Lowassa anajulikana hadi vijijini hana haja ya kuongeza cost ya kubandika picha za kujiza, kazi ya kujiuza ni ya Pombe ambaye anajulikana sehemu chache zenye barabara ya lami.
 
Lowasa picha zenyewe za kuweka kwenye Mabango hana, ndo anazitengenezea Gongolamboto, Tandale, Tandika na kwingineko. Aliisahau hiyo part ya Mabango na matangazo.

Kamuche;
Nimefurahia sana comment yako hii. Hivi kwa maono yako unadhani kuwa tunamchagua kwa vile yupo kwenye bango??? Lowasa hana haja ya bango, kusema kweli watu wesha mchagua wanangojea asimikwe tuu au aapishwe mara moja.
Msiogope, Oktoba tutajua kama mabango yalisaidia au la
 
Watu wa dar wanatoka home saa 11 alfajiri kurudi saa nne usiku

Kisa foleni,watapata wapi muda wa kuangalia mabango ya solex?

Lowasa tosha
 
Wakati CCM wanaweka mabango Lowassa anakwenda mwenyewe waliko wananchi kama hivi.
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Jiji limependeza sasa ni Magufuli na kauli mbio Hapa kazi tu. Mabango yametapakaa kila kona matangazo ya voda tgo airtel tupa kule.

Najua hayo mabango ni ya kampuni binafsi na kodi hukusanywa na halmshauri husika sina shaka na hilo.

Ila ccm wajanja mmechukua mabango ya sehemu nyeti zote ukawa sijui wataweka wapi mabango yake.

# Lowasa 2015
Nimeyaona hayo mabango, mimi naifahamu gharama ya kutengeneza kila bango, yaani production cost, kutokana na size ya bango, halafu pia nafahamu rental fees za kubandika kila bango according to size and location, hivyo kupitia sheria ya gharama za Uchaguzi, the public has the right to know, CCM sio tuu kwa nini imetumia gharama kubwa kuliko zilizoainish
wa kisheria, bali pia vyama vinawajibika kuwataja wafadhili wao na kiasi walichofadhili, lazima itaje source ya hizo fedha, na kama imepewa offer kutoka kampuni ya A1, then ipigwe hesabu yote ya hiyo offer, then tufuatilie TRA kama hao AI wamelipa kodi stahiki kwa offer zake kwa CCM, ili isije kuwa this time CCM imeishatafuta kichaka kingine kama cha Kagoda kilichomuingiza Mukulu Ikulu, na ufadhili kwa CCM kisije kuwa ni kichaka cha ukwepaji kodi, vinginevyo kama wafanya biashara wako huru kuchangia chama chochote cha siasa, alimradi kwanza michango hiyo ionekane wazi kwenye mahesabu, pili vyama vitaonyesha source za pesa hizo, na mwisho pesa zote zitalipiwa kodi stahiki!.

Pasco
 
Jiji limependeza sasa ni Magufuli na kauli mbio Hapa kazi tu. Mabango yametapakaa kila kona matangazo ya voda tigo airtel tupa kule.

Najua hayo mabango ni ya kampuni binafsi na kodi hukusanywa na halmshauri husika sina shaka na hilo.

Ila CCM wajanja mmechukua mabango ya sehemu nyeti zote UKAWA sijui wataweka wapi mabango yake.

#Lowassa 2015

Mabango ya LOWASSA yapo mioyoni mwa Watanzania wapenda mabadiliko.
 
Rais sio kuuza sura kwaenye mabango kwa pcha za mauzo eti sura ya Rais.Bali Rais ni nini kile anacho kwenda kukifanya.
 
pole xana team magufuli kwani mtapata shida kutoa mabango hayo baada ya 25 october hii
 
Back
Top Bottom