Mabango ya CCM Mjini

Mabango ya CCM Mjini

Jiji limependeza sasa ni Magufuli na kauli mbio Hapa kazi tu. Mabango yametapakaa kila kona matangazo ya voda tigo airtel tupa kule.

Najua hayo mabango ni ya kampuni binafsi na kodi hukusanywa na halmshauri husika sina shaka na hilo.

Ila CCM wajanja mmechukua mabango ya sehemu nyeti zote UKAWA sijui wataweka wapi mabango yake.

#Lowassa 2015

Wakati wakifanya hivyo kuna vipimo kana MRI,T Scanner,hakuna muhimbili.Wagonjwa wananalala kitanda kimoja watu 3.
Dawa ni chagua UKAWA
 
Lowasa anajulikana bango la nini?Waache wayatoe ila wataelewa tu kuwa rais ni LOWASA
 
Wanajamvi matangazo ya chagua magufuli kuzagaa kila kona as if ni mgombea toka chama kilichoanzishwa juzi ni kielelezo kwamba KIBAYA CHAJITEMBEZA?

Msaada please?
 
Wewe jidanganye tu!Matangazo muhimu sana!
Mkuu ni bidhaa gani bora unayoifahamu hapa Tanzania inayojitangaza kama anavyofanya magufuli sasa.Mimi ninavyofahamu kizuri huwa kinajiuza chenyewe
 
Jiji limependeza sasa ni Magufuli na kauli mbio Hapa kazi tu. Mabango yametapakaa kila kona matangazo ya voda tigo airtel tupa kule.

Najua hayo mabango ni ya kampuni binafsi na kodi hukusanywa na halmshauri husika sina shaka na hilo.

Ila CCM wajanja mmechukua mabango ya sehemu nyeti zote UKAWA sijui wataweka wapi mabango yake.

#Lowassa 2015
Wadanganyika,malofa na wapumbavu wanalazimishwa wamkubali magufuli hata kama ni galasa
 
Wakati wakifanya hivyo kuna vipimo kana MRI,T Scanner,hakuna muhimbili.Wagonjwa wananalala kitanda kimoja watu 3.
Dawa ni chagua UKAWA
Mkuu inasikitisha sana.Hivi wanachama wa ccm mfano wajumbe wa nyumba kumi kumi nao huwa wanapelekwa kuchecki malaria Ulaya?
 
Kazi ya mabango sio kupiga kura,na hiyo siyo kazi iliyolengwa.Kazi ya mabango ni kuwashawishi watu wampigie Magufuli kura.Nina hakika kwamba wapumbavu na wajinga watashawishiwa na ujumbe ulioko kwenye mabango hayo.Messages hizi kama zikiandikwa vizuri,zinaa uwezo wa kushawishi sana,hasa kama zinaonekana kila siku.In fact huu ni utapeli wa aina fulani hivi.Ni utapeli kwa kuwa messages hizo zina nia ya kuwaaminisha wananchi kwamba Magufuli anafaa kuwa raisi(subliminal suggestions),jambo ambalo sio kweli.
mabango hayapigi kura
 
Nyie maku wakilutharen hamjui kutu.... matangazo muhim
 
Hakuna BANGO muhimu kama ubongo ndani ya kichwa cha kila mmoja kati yetu.Bango hilo ndilo limeamua ama litaamua punde ni nani awe Rais wa Tanzania.Zingine zote ni mbwembwe!!..Inashangaza mabango ya kugombea urais yametapakaa kila hatua lakini hakuna hata bango moja la kuhamasisha watanzania kuweka mazingira yao safi kuepukana na ugonjwa hatari na wa aibu wa Kipindupindu!
 
Jiji limependeza sasa ni Magufuli na kauli mbio Hapa kazi tu. Mabango yametapakaa kila kona matangazo ya voda tigo airtel tupa kule.

Najua hayo mabango ni ya kampuni binafsi na kodi hukusanywa na halmshauri husika sina shaka na hilo.

Ila CCM wajanja mmechukua mabango ya sehemu nyeti zote UKAWA sijui wataweka wapi mabango yake.

#Lowassa 2015

Mgombe wa ukawa anajulikana hahitaji mabango mengi hivyo
 
Back
Top Bottom