Mabango ya CCM Mjini

Mabango ya CCM Mjini

Jiji limependeza sasa ni Magufuli na kauli mbio Hapa kazi tu. Mabango yametapakaa kila kona matangazo ya voda tigo airtel tupa kule.

Najua hayo mabango ni ya kampuni binafsi na kodi hukusanywa na halmshauri husika sina shaka na hilo.

Ila CCM wajanja mmechukua mabango ya sehemu nyeti zote UKAWA sijui wataweka wapi mabango yake.

#Lowassa 2015

View attachment 280270View attachment 280272

Unamaanisha mabango haya???
 
Uchaguzi 2015 Octoba 25 ni kwa viongozi wa Taifa letu toka ngazi za chini. Tusiweke nguvu na kete zetu kwa nafasi ya Rais tu. upinzani unaweza ukajikuta wanakosa Urais na kupoteza hata majimbo na kata ambazo walikuwa nazo kipindi cha uongozi unaoisha. Kupanga ni kuchagua
 
Lowassa mabango yanin sasa jaman.....mbona kila mtu anamjua......me sioni haja ya mabango, labda huyo maguful cdhan km anafahamika vya kutosha?
 
Lowassa yupo kidigitally hata bila picha tunaweza kumnadi sisi wenyewe...
 
Nimeyaona hayo mabango, mimi naifahamu gharama ya kutengeneza kila bango, yaani production cost, kutokana na size ya bango, halafu pia nafahamu rental fees za kubandika kila bango according to size and location, hivyo kupitia sheria ya gharama za Uchaguzi, the public has the right to know, CCM sio tuu kwa nini imetumia gharama kubwa kuliko zilizoainishwa kisheria, bali pia vyama vinawajibika kuwataja wafadhili wao na kiasi walichofadhili, lazima itaje source ya hizo fedha, na kama imepewa offer kutoka kampuni ya A1, then ipigwe hesabu yote ya hiyo offer, then tufuatilie TRA kama hao AI wamelipa kodi stahiki kwa offer zake kwa CCM, ili isije kuwa this time CCM imeishatafuta kichaka kingine kama cha Kagoda kilichomuingiza Mukulu Ikulu, na ufadhili kwa CCM kisije kuwa ni kichaka cha ukwepaji kodi, vinginevyo kama wafanya biashara wako huru kuchangia chama chochote cha siasa, alimradi kwanza michango hiyo ionekane wazi kwenye mahesabu, pili vyama vitaonyesha source za pesa hizo, na mwisho pesa zote zitalipiwa kodi stahiki!.

Pasco

Gharama za Kampeni ya Magufuli ndio zimeanza
....kipindi kile mnasaka wadhamini mlitumia kiasi gani kwa mgombea wenu?
 
Jiji limependeza sasa ni Magufuli na kauli mbio Hapa kazi tu. Mabango yametapakaa kila kona matangazo ya voda tigo airtel tupa kule.

Najua hayo mabango ni ya kampuni binafsi na kodi hukusanywa na halmshauri husika sina shaka na hilo.

Ila CCM wajanja mmechukua mabango ya sehemu nyeti zote UKAWA sijui wataweka wapi mabango yake.

#Lowassa 2015
11870902_798750443576282_184670937318589606_n.jpg
 
Wanaukumbi.

Kuna neno 'Hapa kazi tu' watungaji hawakuona madhara..

Neno hilo limeanza kuimaliza ccm na mgombea kwa maana kuwa KUNA KAZI KUBWA KUMKABILI LOWASSA..kana kwamba kazi ya kampeni ni ngumu 'tu' likiwa na maana yatosha kwani TUMESHINDWA ILA TWAJIPELEKAPELEKA KUTIMIZA JUKUMU.

Shauri ya magamba,nadhani hamna mshauri.

TAFAKARI..
 
Nyinyi msiwe na wasiwasi, endeleeni kula keki za birthday. Subiri KIPIGO SIKU YA SIKU.

HALAFU NYIE HAMNA SLOGAN NDIO MAANA UNATOKWA POVU NA HAPA KAZI TU.
11881622_918796964848894_1725282770_n.jpg

11357484_1519028575055860_1491569277_n.jpg

11821737_460552534126220_1763696851_n.jpg

11849090_602622349841054_510148974_n.jpg

11370994_1645218469029374_333859788_n.jpg
 
Wana jamvi ebu nielimisheni kuhusu mabango yalotawala barabarani kwa hapa dar yamejaa mno ya mh magufuli alafu wagombea wengine awapo.
 
Kaka kuipata Ikulu siyo lele mama! Haushangai wanavyotembea na wasanii kwenye kampeni zao?
 
Back
Top Bottom