Mkuu, ninaiheshimu sana JF. Siwezi kuleta humu habari za uongo tena kwenye masuala kama haya yanayohusu usalama wa walimwengu. Ushahidi wa niliyosikia ni huu hapa.
-----
A raft of recent revelations seem to lend support to the Turks’ theory that Khashoggi’s murder was a pre-planned hit. A Turkish
source shared CCTV footage with CNN showing a body-double leaving the consulate building in Khashoggi’s clothes, moments after the killing. Leaving through the back door,
the doppelganger is seen wearing a fake beard and glasses to appear more like his alleged victim. Hours before the killing, the man is seen entering the building in his own clothes, without the beard and glasses.
Chanzo cha habari hiki hapa:
Khashoggi’s body parts found in garden of Saudi consul general’s home – sources
-----
Kupata nukuu hiyo hapo juu, soma aya ya nane kwenye habari ambayo link nimekuwekea. Sipo JF kufanya 'upuuzi'. Niko hapa JF kwa sababu napenda ukweli usemwe. Pia nipo hapa kuboresha ubongo wangu kwani kuna elimu nyingi naipata hapa.
Leta hoja nyingine.