Mabaki ya mwili wa Khashoggi yapatikana

Mabaki ya mwili wa Khashoggi yapatikana

Kweli wamekosa hata akili!

Yaani na mahela yote hayo eti walishindwa hata kumpa sumu sehemu ingine tofauti na ubalozi wao?

Halafu kwa jinsi walivyo mazuzu, mwanzoni walikataa kabisa kuwa hawakumuua halafu wakadai eti aliondoka hapo ubalozini.

Sasa hivi wamekubali.

Kama hiyo haitoshi, watu zaidi ya 10 walihusika katika kumuua.

Sasa labda hawajali vile ambavyo watachukuliwa na jamii ya kimataifa...

Common sense yangu inaniambia kwamba operesheni kama hiyo ikihusisha watu wengi hivyo kamwe hakutokuwa na siri.

Mazuzu kabisa hao jamaa.
 
Hatimae kilichokua kinatafutwa hapo ni ushahidi wa kuidanganya dunia kua nchi za ulaya zime hidhunishwa natukio hilo,hivyo chochote kina weza fanyika kama njia ya kuiadhibu SAUDIA.Ila ukweli wa mambo wazungu wanatafuta nini cha kuchukua kutoka SAUDIA kama sehemu ya kurejesha uhusiano Na nchi za ulaya. Ni maoni yangu
 
Una hakika hapo hujatumia "ujahidina" kufikiri ?
 
Hatimae kilichokua kinatafutwa hapo ni ushahidi wa kuidanganya dunia kua nchi za ulaya zime hidhunishwa natukio hilo,hivyo chochote kina weza fanyika kama njia ya kuiadhibu SAUDIA.Ila ukweli wa mambo wazungu wanatafuta nini cha kuchukua kutoka SAUDIA kama sehemu ya kurejesha uhusiano Na nchi za ulaya. Ni maoni yangu
Hakuna nchi Za ulaya hapo, hao ni wenyewe tuu
 
Yaani na mahela yote hayo eti walishindwa hata kumpa sumu sehemu ingine tofauti na ubalozi wao?

Halafu kwa jinsi walivyo mazuzu, mwanzoni walikataa kabisa kuwa hawakumuua halafu wakadai eti aliondoka hapo ubalozini.

Sasa hivi wamekubali.

Kama hiyo haitoshi, watu zaidi ya 10 walihusika katika kumuua.

Sasa labda hawajali vile ambavyo watachukuliwa na jamii ya kimataifa...

Common sense yangu inaniambia kwamba operesheni kama hiyo ikihusisha watu wengi hivyo kamwe hakutokuwa na siri.

Mazuzu kabisa hao jamaa.
Mbona Israel anauwa kila leo huko Gaza mpaka watoto na haguswi hao wazungu wanafiki wakubwa
 
Hatimae kilichokua kinatafutwa hapo ni ushahidi wa kuidanganya dunia kua nchi za ulaya zime hidhunishwa natukio hilo,hivyo chochote kina weza fanyika kama njia ya kuiadhibu SAUDIA.Ila ukweli wa mambo wazungu wanatafuta nini cha kuchukua kutoka SAUDIA kama sehemu ya kurejesha uhusiano Na nchi za ulaya. Ni maoni yangu
Uwe angalau unareason basi mura!Nchi za ulaya ndo wamemuua Kashogi?Mbona ikifika kwa maasi ya waarabu lazima either wazungu or waisraeli walaumiwe?
 
Back
Top Bottom