Mabaki ya mwili wa Khashoggi yapatikana

Mabaki ya mwili wa Khashoggi yapatikana

Yaani na mahela yote hayo eti walishindwa hata kumpa sumu sehemu ingine tofauti na ubalozi wao?

Halafu kwa jinsi walivyo mazuzu, mwanzoni walikataa kabisa kuwa hawakumuua halafu wakadai eti aliondoka hapo ubalozini.

Sasa hivi wamekubali.

Kama hiyo haitoshi, watu zaidi ya 10 walihusika katika kumuua.

Sasa labda hawajali vile ambavyo watachukuliwa na jamii ya kimataifa...

Common sense yangu inaniambia kwamba operesheni kama hiyo ikihusisha watu wengi hivyo kamwe hakutokuwa na siri.

Mazuzu kabisa hao jamaa.
Hivi waliokuwa wanapanga op kama hizi zamani wamekufa wote na hawakurithisha wengine. Ukiona op za kipuuzi Africa unadhani ni ulofa wetu sasa na hawa wenye hela zao kufanya kama mchezo wa kombolela ndio nini hii?
 
Hivi waliokuwa wanapanga op kama hizi zamani wamekufa wote na hawakurithisha wengine. Ukiona op za kipuuzi Africa unadhani ni ulofa wetu sasa na hawa wenye hela zao kufanya kama mchezo wa kombolela ndio nini hii?

Wachukue hata pointers toka kwa Putin....yeye analisha watu sumu tu...na mwisho wa siku watu mnabaki ku guess tu!

Hawa Wasaudia wako backwards sana.
 
Khashoggi’s body parts found in garden of Saudi consul general’s home – sources
===
Siyo mwili umepatikana bali , heading ya uzi huu isomeke vipande vya mwili wa the late Jamal Khashoggi vimepatikana kwenye kisima cha general wa konsula ya Arabia huko Uturuki. Naona Arabia wameamua kutumia mbinu ya Mongolia kipindi hicho waliyotumia kutawala sehemu kubwa ya dunia wakati nyakati haziruhusu matumizi ya mbinu hizo.

MbS aadhibiwe...maana inasemekana ni yeye aliyempigia simu late Jamal arudi Saudia kisha late Jamal akakataa wito huo kwa kumueleza akirudi atakamatwa na kuuawa.
 
Hivi waliokuwa wanapanga op kama hizi zamani wamekufa wote na hawakurithisha wengine. Ukiona op za kipuuzi Africa unadhani ni ulofa wetu sasa na hawa wenye hela zao kufanya kama mchezo wa kombolela ndio nini hii?
Nasikia walitumia upuuzi wa mwaka...eti baada ya kumuua Jamal wakamvalisha jamaa fulani nguo za marehemu na kutengeneza sura yake ifanane na ya marehemu na kumuagiza atoke nje. Ndiyo maana mwanzoni kabisa...wasemaji wa saudia waisema Jamal alingia na baadaye kutoka. Sasa nasika camera za Waturuki ziligundua kuwa yule jamaa aliyetoka amevaa nguo za Jamal alikuwa ameweka videvu bandia afanane na Jamal. Ndiyo upuuzi walioufanya.
 
Hatimae kilichokua kinatafutwa hapo ni ushahidi wa kuidanganya dunia kua nchi za ulaya zime hidhunishwa natukio hilo,hivyo chochote kina weza fanyika kama njia ya kuiadhibu SAUDIA.Ila ukweli wa mambo wazungu wanatafuta nini cha kuchukua kutoka SAUDIA kama sehemu ya kurejesha uhusiano Na nchi za ulaya. Ni maoni yangu

Kenge kabisa wewe
 
Hapo sasa!

Yaani walishindwa hata kumnyemelea sehemu nyakati za usiku na kumdungua risasi au kummwagia tindikali hadi wakamsubiri aje ubalozini kwao?

Hahahaaa hawa jamaa ni bure kabisa aisee.
Yaani wanambinu za kitoto sana mkuu
 
Back
Top Bottom