Mabaki ya mwili wa Khashoggi yapatikana

Mabaki ya mwili wa Khashoggi yapatikana

Hatimae kilichokua kinatafutwa hapo ni ushahidi wa kuidanganya dunia kua nchi za ulaya zime hidhunishwa natukio hilo,hivyo chochote kina weza fanyika kama njia ya kuiadhibu SAUDIA.Ila ukweli wa mambo wazungu wanatafuta nini cha kuchukua kutoka SAUDIA kama sehemu ya kurejesha uhusiano Na nchi za ulaya. Ni maoni yangu
Hata mimi naamini hao waliofanya hili tukio yawezekana wakawa ni agents wa USA ambao wanafanya kazi Saudia. Yote ni kutafuta njia ya kuiingia Saudia. Katika hali ya kawaida ni wapumbavu pekee ndio wanaweza kupanga na kutekeleza mission kijinga namna hiyo.
 
Tena ni mission mbovu na ya kiboya mno
 
Hata mimi naamini hao waliofanya hili tukio yawezekana wakawa ni agents wa USA ambao wanafanya kazi Saudia. Yote ni kutafuta njia ya kuiingia Saudia. Katika hali ya kawaida ni wapumbavu pekee ndio wanaweza kupanga na kutekeleza mission kijinga namna hiyo.
US wafanyie mauaji ndani ya consulate ya Saudia,wavae hadi nguo za marehemu ili kusudi waingie Saudia?Unataka kutengeneza theorem gani?Kwamba Arabs/muslims cannot kill unless a whiteman/christian/jews are involved!Kwa nn yanapofanywa maasi ya waarabu watu mnalazimisha kuwaaminisha watu kuwa ni presha ya mzungu.Kote naiona hii either nationally or internationally iwe Isis,boko haram,alshabaab alqaida etc etc.Somebody gotta be responsible for his own deeds jamani!
 
Nasikia walitumia upuuzi wa mwaka...eti baada ya kumuua Jamal wakamvalisha jamaa fulani nguo za marehemu na kutengeneza sura yake ifanane na ya marehemu na kumuagiza atoke nje. Ndiyo maana mwanzoni kabisa...wasemaji wa saudia waisema Jamal alingia na baadaye kutoka. Sasa nasika camera za Waturuki ziligundua kuwa yule jamaa aliyetoka amevaa nguo za Jamal alikuwa ameweka videvu bandia afanane na Jamal. Ndiyo upuuzi walioufanya.
Duh,we umejuaje haya wakati uko bongo ata erdogan mwenyewe sjui Kama haya anayajua .dah,hii ndo Tanzania bana
 
Trump hataiacha Saudi
Hakika kwani utajiri wa marekani unategemea wayahudi na waarabu(UAe,qattari, Jordani,Saudis,n.k) tu hivyo kamwe USA HAWEZI KUWAACHA wayahudi au waarabu lazima atawalinda tu
 
Hapana mkuu
Saudia hawana urafiki na uturuki
Kumbuka walipovurugana na Qatar na kuchukua ubalozi wao
Walipofunga na biashara zote na Qatar
Mturuki ndio alikuwa wa kwanza kupeleka kila kitu Qatar na kuwasaidia sana.

Na hii yote ni kwa sababu Qatar na uturuki wanasapoti Muslim brotherhood.

Saudia linamuuma kwa sababu anaona Turkey na Qatar wanamkubali Iran zaidi yake.

Nafikiri Qatar anafurahia zaidi na kama naona simu zinavyopigwa kumwambia Erdogan akaze hapo hapo haha

Lakini mbaya zaidi na anaeiharibu Saudia ni MbS
Huyu ndugu zake watampiga shaba tu siku moja
Uturuki anatumia hili tukio kama fursa ya kupata mabillioni ya dola kutoka saudia ili afiche baadhi ya Ushahidi wa tukio hili kwani mpaka leo hajatoa ile audio na video kama wenyewe walivyodai kuwa wanazo hapo awali lakini upande wa pili huku Qatar anamsukuma uturuki atoe UKWELI wote wa hili tukio ili iwe kama adhabu na aibu kwa mahasimu wa qatar (saudia) .
Hivyo uturuki yupo kati kati anahaha tu ajui afanye lipi aache lipi ngoja tuone kama saudia ataongeza dau kwa erdorrgani ili wasitoe hio clip ya mauaji.
Nawaza tu.....
 
Dunia yote iko huko ikimwangalia Erdogan
Na amesema atasema ukweli wote
Shinikizo ni kumwambia Mfalme amuondoe hapo lakini sidhani kama litawezekana.

May nae alikuwa anampigia simu King Suleiman, naona bado sana
Vikwazo vitakuwepo lakini vidogo sana kama kususia kwenda kwenye business forum

Ni MbS ndio anahaha na kusema hawataweza kutugombanisha na Turkey
Lakini ukweli ni kuwa anaogopa zile simu zake zikivuja ni aibu zaidi

Tusubiri
 
Dhaifu kwa sababu yuko upande wa Saudia?,Au udhaifu unamaanisha nini mkuu?.BTW When it comes to national interests nchi yoyote ile lazima ingepata kigugumizi tu,Mimi wala simshangai Trump,Anaonyesha ni jinsi gani unafiki unakuwa applicable when it comes to national interests.Na uhakika hata ungekuwa wewe ndo Trump usingekubali kupoteza deal la $100bil sababu ya upuuzi walioufanya Saudia,wapambane na hali zao tu,wazembe sana.
Point
 
Duh,we umejuaje haya wakati uko bongo ata erdogan mwenyewe sjui Kama haya anayajua .dah,hii ndo Tanzania bana
Mkuu, ninaiheshimu sana JF. Siwezi kuleta humu habari za uongo tena kwenye masuala kama haya yanayohusu usalama wa walimwengu. Ushahidi wa niliyosikia ni huu hapa.
-----
A raft of recent revelations seem to lend support to the Turks’ theory that Khashoggi’s murder was a pre-planned hit. A Turkish source shared CCTV footage with CNN showing a body-double leaving the consulate building in Khashoggi’s clothes, moments after the killing. Leaving through the back door, the doppelganger is seen wearing a fake beard and glasses to appear more like his alleged victim. Hours before the killing, the man is seen entering the building in his own clothes, without the beard and glasses.

Chanzo cha habari hiki hapa: Khashoggi’s body parts found in garden of Saudi consul general’s home – sources
-----
Kupata nukuu hiyo hapo juu, soma aya ya nane kwenye habari ambayo link nimekuwekea. Sipo JF kufanya 'upuuzi'. Niko hapa JF kwa sababu napenda ukweli usemwe. Pia nipo hapa kuboresha ubongo wangu kwani kuna elimu nyingi naipata hapa.

Leta hoja nyingine.
 
Well said walahi
 
Yaani walikodi kabisa ndege kutoka Riyadh kwenda Istanbul kutekeleza "mission" yao hiyo ya kizuzu kweli kweli. Kwa upumbavu huu sasa naanza kuamini aliyosema Trump kwamba kama sio ulinzi wa US, utawala wa Saudia hauwezi kudumu hata wiki mbili. Japo Riyadhi waling'aka, huo ndio ukweli.

Pamoja na mautajiri yote na masilaha ya kisasa kabisa waliyo nayo, Saudia haiwezi kusimama vitani na Iran, huu ni ukweli mchungu kwao. Kama "operation Khashogi" uwezo wao ndio ule, Riyadhi hamna kitu inapokuja operation zinazohitaji "akili nyingi" kama wanazofanya Israel kila uchao. No wonder Houthi kule Yemen wanawachapa kila mara na mautajiri yao ya fedha na silaha. R.I.P Khashogi.

Waione: kimsboy, Nalendwa Frank Wanjiru ze kokuyo gemmanuel265

"Operation Khashoggi" 🙂
Umeangalia mbali zaidi. MBS ame get away na baadhi ya Issues naona wakaona na hili la Khashoggi itakuwa hivyo hivyo.

Teh!, yaani sasa tunaona tofauti yao na Mu Israel. Cha kushangaza zaidi ni the whole Intelligence team ambayo King Salmin amegusia MBS aiangalie upya. Kwamba walishindwa kabisa ku come up with the better plan zaidi ya kufanya unyama, kujivisha ushahidi, and then kupeleka Ushahidi kwa nyumba ya Balozi..
Kama Iran wana take note, watajikusanyia mengi.

I don't mean to offend anybody but, uongo mbaya, ngozi nyeupe wametuacha mbali sana when it comes to Upstairs.
 
Trump naye anajichanganya changanya tu.

But for him that is par for the course.

He is the undisputed king of contradictions.

He contradicts himself so much like nobody’s business.

Not only that, sometimes he just makes stuff up....

That’s just who he is!!

"Makes stuff Up"...LOL!

He kills me sometimes...
 
Back
Top Bottom