Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,555
- 41,066
- Thread starter
- #281
Kuna mahali nimetumia kejeli dhidi ya Rais? Yawezekana ungependa niandike kwa namna tafauti. Lakini ujue tunatofautiana kufikiri, kuongea na namna ya uwasilishaji hoja. Cha msingi angalia hoja iliyowasilishwa. Kama kuna mahali ukaona kuna content, chukua hiyo unayoiona ya maana. Yenye hitilafu achana nayo.Mkuu Hawa jamaa wa migodini Wana dharau sana, sishangai huyu jamaa kutumia lugha ya kejeli anasau hata JPM yumo humu na anasoma comments na ana like pia.
Kwanza kwenye uchaguzi 2015 walimponda mawe mama Samia pale kakola akina Ray shilole na jokate walikimbilia hotel ya Jensen Hadi ffu walivyokuja kuwaokoa, JPM hakupiga kampeni Bulyanhulu kwa hofu yakufanyiwa fujo. Lowasa nae hakwenda pale kwa hofu ileile, mjifunze siku nyingine mjue Kuna kesho