Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

Mkuu Hawa jamaa wa migodini Wana dharau sana, sishangai huyu jamaa kutumia lugha ya kejeli anasau hata JPM yumo humu na anasoma comments na ana like pia.

Kwanza kwenye uchaguzi 2015 walimponda mawe mama Samia pale kakola akina Ray shilole na jokate walikimbilia hotel ya Jensen Hadi ffu walivyokuja kuwaokoa, JPM hakupiga kampeni Bulyanhulu kwa hofu yakufanyiwa fujo. Lowasa nae hakwenda pale kwa hofu ileile, mjifunze siku nyingine mjue Kuna kesho
Kuna mahali nimetumia kejeli dhidi ya Rais? Yawezekana ungependa niandike kwa namna tafauti. Lakini ujue tunatofautiana kufikiri, kuongea na namna ya uwasilishaji hoja. Cha msingi angalia hoja iliyowasilishwa. Kama kuna mahali ukaona kuna content, chukua hiyo unayoiona ya maana. Yenye hitilafu achana nayo.
 
Tatizo lako umeongelea kana kwamba serikali imefanya Jambo la kijinga kwenye mining industry, unasahau Dr mengi alikuwa ana hizo pml zenye ukubwa wa theluthi moja ya nchi yetu, umesahau kuwa bonde la rufiji kilikuwa shamba la mtu na alizuia ujenzi wa nyerere dam Hadi serikali ilinunue, Sasa kuweka mambo sawa reforms zilihitajika haraka na zisingekuwa selective hao wachache walio athirika wanayo haki ya kukata rufaa kwa waziri mwenye dhamana
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio imefanya jambo la kijinga, ndio maana mining industry inakufa , hamna wawekezaji, kesi zinaongezeka, watu wanapunguzwa kazi, hayo kwako ni mambo positive? Kushtakiwa na makampuni ya madini kwa retention license zilizokuwa zimebakiza miezi 6 kuishi tukazichukuwa bibabe unaona ni akili? Au wewe kipimo cha ujinga kwako ni kipi?
 
Alitoa tahadhari kwasababu alishajua alishatudanganya na tukaamini uongo wake, Lissu na Zitto walizumguka nchi nzima wakiwaambia wananchi kuwa mkataba wa buzwagi Ni batili na ulisainiwa na waziri akiwa bar London. Huyohuyo Zitto alifadhiliwa ujenzi wa shule jimboni kwake akanyamaza kimya ka sio yeye.

Lissu huyuhuyu alidukuliwa kwenye simu yake akiwapigia simu maofisa wa juu wa acacia. Yaani matapeli matupu

..TL na Dr.Nshala walianza kupiga kelele miaka ya 90 wakati tunasaini mkataba wa kwanza, mkataba wa Bulyankhulu.

..Sasa jiulize tangu tusaini Bulyankhulu tumeongeza mikataba mingine mingapi?

..Kwanini tusaini mikataba karibu 7 na tuchukue miaka 20 kufanyia kazi kasoro walizokuwa wakizizungumzia TL na Dr.Nshala?

..Ukishasaini mkataba unakuwa umejifunga. TL alikuwa anatahadharisha kuwa tusitumie pupa na jazba kushughulikia suala hili.

..Pia alitahadharisha kuhusu ripoti za ma-Prof kuwa zilikuwa na mapungufu makubwa kuanzia ktk takwimu mpaka utaratibu na muundo wa tume zilizoandaa ripoti hizo.

..Mwisho, aliyedukuliwa akizungumza na acaccia siyo TL ni mtu mwingine ambaye sitamtaja.

..Lakini, there was nothing wrong kuzungumza na accacia. Mbona Raisi aliwakaribisha watu wa barrick, wamiliki wa accacia, ikulu?

..Mbona Prof.Kabudi na timu ya serikali alikaa vikao vya majadiliano na watendaji wa barrick, wamiliki wa accacia?

..Je, tume za Prof.Mruma na Prof.Ossoro hazikuzungumza na accacia wakati wa kufanya uchunguzi?

..Mwisho, Accacia walikuwepo nchini KISHERIA. Hakukuwa na kosa lolote kuzungumza nao ili kupata picha kamili ya kilichokuwa kikiendelea ktk sekta ya madini.

NB.

..Jimbo la Magufuli nalo lilipokea msaada toka kwa makampuni ya madini.

..Waziri Kalemani aliwahi kuwa muajiriwa wa makampuni ya madini.
 
Tatizo la baadhi ya watu wanashindwa kuelewa, wanafikili ukipinga baadhi ya mambo basi wewe sio mzalendo huipendi nchi yako, ni msaliti, wakala wa mabeberu. Suala la madini tulishakosea wenyewe, sio wawekezaji, ni sawa sawa na mkulima anapoenda kukodi shamba la kulima, una kodi kwa masharti utakayoyakuta, sisi Kama tulikosea kwenye sheria na Sera basi tutambue ndio vitu vilivyo yavutia haya makampuni kuwekeza and not otherwise. Na haya makampuni hayakuingia mkataba na mtu binafsi bali serikali.

Na serikali ina sifa ya continuity, haimaanisha akitoka kikwete akaja Magufuli basi mambo yaliyofanywa na kikwete, ikiwemo kuingia mikataba ya kimataifa haitambuliki just because Magufuli amekuwa Rais.

Tumefanya ujinga mwingi kwenye suala la mikataba kuanzia kwenye gas, utalii, madini, etc. Tatizo la nani? MUWEKEZAJI au SISI? Its obvious we are the ones who made the mistakes.

Unatatuaje haya makosa? Kwa UBABE? obviously ukileta ubabe utashtakiwa kama ambavyo tunaona sasa, and this portrays a very negative imagine that our country is not investors friendly, our investment policies can change any time uniliterally and thus very unstable and unpredictable country to invest.

Busara ni diplomacy, bila Maneno ya kahawa kwenye media na kutoka kujigamba wewe ni mzalendo kuliko watanzania wote, kaa na hawa investors, ungea nao in a very friendly way sababu UBABE hauwezi kutusaidia. Busara ndio kila kitu na ndio uongozi unataka hivyo, Hawa wanalipa KODI kidogo hawa, bila Ku angalia mazingira ya biashara na kushirikisha wadau ushakimbilia bungeni na muswada wa mabadiliko ya sheria, ili watu walipe kodi kubwa bila kuangalia uhalisia wa biashara,

Political leader's kuanzia ngazi ya Wilaya huko wanafanya very arbitrary decisions kwenye mambo ya kodi, uwekezaji, kila siku kusumbua watu kisa WATU WANAPIGA DILI. Lazima biashara zife, lazima mambo yayumbe. Ndio tulipofika hapa Sababu ya ARBITRARY decisions THAT are baseless.
 
..Asante sana kwa mchango wako.

..Hili suala ilitakiwa lifanyike kwa UTULIVU bila jazba na majigambo.

..Pia masuala yenyewe yalikuwa ni ya KIUFUNDI, hivyo hatukutakiwa kuingiza SIASA.

..Zaidi, tulitakiwa tuwe WAMOJA. Ilifika mahali tukawa tunapambana wenyewe kwa wenyewe, badala ya kuweka vichwa pamoja kupambana na Accacia / Barrick.

..Serikali, Prof.Kabudi, na CCM wali-loose focus. Walitumia nguvu na mbinu nyingi kupambana na kumchafua TL, badala ya kushughulika na Accacia / Barrick. Sheria zilitungwa ili kum-prove TL wrong badala ya kutupa the best possible alternative ya sheria zilizokuwepo.
 
Mauzo ya dhahabu yameongezeka kwa 23% makusanyo ya Kodi yamepanda kutoka 800bn Hadi 1700bn shida iko wapi?
 
..tungeweza kupata zaidi ya hicho kama tungeshughulikia suala hili kwa busara na utulivu.
 
Safi kabisa.
Nakumbuka nilikuwa nasoma sana michango yako mwaka 2017 wakati ya sakata la makinikia na zile professorial rubbish reports zake...
Binafsi niko kwenye sekta hii....japo sio kwa muda mrefu kama wewe....but I do wish wazoefu kama wewe mtaendelea kutuelimisha. Katika sekta Watanzania wana ufahamu mdogo kupindukia basi hii ya madini itakuwa mojawapo...

Mkuu:
Ni kweli kabisa.
Mwl. Nyerere aliwahi kusema kuwa wa Tanzania bado hatuna elimu na ujuzi kwenye sekta hii ya madini, ni heri yabaki ardhini mpaka hapo tutakapo pata elimu ya kutosha.
Pamoja na kwamba watu wana nia ya dhati ikihusisha uchungu wa nchi kudhulumiwa.

Lakini leo hii mtu anakurupuka na sheria za ajabu ambazo yeye mwenyewe hana ujuzi wa sheria za madini, matokeo yake ndio hayo.
 
Unaweza kutuwekea article yoyote ya Lisu au Nshala iliyokuwa ya uongo?
Unachoongea kinatuingia akilini sema wabongo muda mwingine Ni Kama binti wa kisukuma. Katika haya maamuzi Kuna mtu hakutumia hekima aidha kwa makusudi au kwa upumbavu. Haingii akilini unafuta leseni iliyobakiza miezi sita kuisha.

Pia lipo tatizo la misukumo ya kisiasa hasa wapinzani kuwajengea watu Imani potofu kuwa tunaibiwa wakati wanajua sio kweli na watawala wanapata shida kuwaambia wananchi ukweli. Hili la makinikia Lissu alilivalia njuga tangu akiwa LEAT na Rugemarila nchala na watu waliamini maneno ya uongo ya nchala na mpuuzi mwenzie Lissu kibaya na watu waliopewa madaraka nao wakaja na sumu ileile waliolishwa na akina Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kwanini Nchi ni rahisi kuitawala? ni mfano wa watu kama ww
Alitoa tahadhari kwasababu alishajua alishatudanganya na tukaamini uongo wake, Lissu na Zitto walizumguka nchi nzima wakiwaambia wananchi kuwa mkataba wa buzwagi Ni batili na ulisainiwa na waziri akiwa bar London. Huyohuyo Zitto alifadhiliwa ujenzi wa shule jimboni kwake akanyamaza kimya ka sio yeye.

Lissu huyuhuyu alidukuliwa kwenye simu yake akiwapigia simu maofisa wa juu wa acacia. Yaani matapeli matupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahali nimetumia kejeli dhidi ya Rais? Yawezekana ungependa niandike kwa namna tafauti. Lakini ujue tunatofautiana kufikiri, kuongea na namna ya uwasilishaji hoja. Cha msingi angalia hoja iliyowasilishwa. Kama kuna mahali ukaona kuna content, chukua hiyo unayoiona ya maana. Yenye hitilafu achana nayo.
Atatumia nini ili akuelewe?
 
Mauzo ya dhahabu yameongezeka kwa 23% makusanyo ya Kodi yamepanda kutoka 800bn Hadi 1700bn shida iko wapi?

Watanzania wanaongea mno tena bila evidence, sheria imepitishwa wawekezaji ambao ni wakubwa kama Barrick wapo na wanalipa kodi kutokana na sheria hiyo,mapato yamepaa kushinda hapo awali wanakuambia biahara imekufa, mara tutafungwa , mara tukae nao ,longolongo nyingi ambazo hazina maana, data zote tumetoa zinaonyesha mapato yameongezeka ,maana yake productions ni kubwa kushinda miaka nyuma, data zinaonyesha , pure evidence sio maneno.
Kwani hao Acacia wamekaa na serikali mara ngapi? hili suala halikuanza kwa Magufuli limekuweko toka zamani wana jadili bila mafanikio.
 
Uzalishaji umeongezeka toka ounces ngapi mpaka ounces ngapi kwa mwaka? Hatuzungumzi kwa kubahatisha bali kwa uelewa.

Kinachofanyika sasa ni sawa na mkulima aliyeacha kulima lakini wakati anaacha kulima, ndani ya nyumba ana magunia mawili ya unga. Lakini kwa vile ugali unaendelea kuonekana mezani, wewe unafurahia kuwa kuacha kulima hakuna madhara mbona tangu aache kulima ugali bado upo.

Tunakueleza kuwa Bulyanhulu, uchimbaji umesimama tangu mwakajuzi. Buzwagi uchimbaji umesimama tangu mwakajana. Buzwagi kinachofanyika kwa sasa ni kuprocess ore iliyochimbwa kabla ya kuacha uchimbaji. Bulyanhulu wanaprocess tailings (kwa lugha ya wachimbaji wadogo ni kuwa wanaprocess marudio). Kwa Barrick, uchimbaji unaoendelea kufanyika ni North Mara tu, ambako nako LoM imepunguzwa baada ya kupandisha cutoff grade ili kuendana na ongezeko la gharama za uzalishaji.

Katika hali hiyo, kuna sustainability ya mapato ya sasa?
 
Inakuwa Kama umerogwa, Nani kakuambia migodi nchi hii iko mitatu tu? Kwa taarifa yako hela inayovunwa na serikali kupitia soko la dhahabu la Geita Ni zaidi ya mapato ya hiyo migodi unayoitaja,
 
126 Reactions
Reply
Back
Top Bottom