Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,327
- 4,115
Maxence MeloFanyieni kazi hili kuwa uhai wa hii platform
Maxence MeloFanyieni kazi hili kuwa uhai wa hii platform
Lazima wazibe masikio.Wameziba masikio pamoja na kelele zote zilizopigwa kwenye hii thread
Jamii forums wamekuwa vichwa vigumu siku hizi،yaani ni kama zile namba za TRA ambazo huwa hazipokelewi.ongezea hapo, ukitaka kutype in kwa textField (kwa jF browser),
halafu mtu mwingine akawa ana type, dash inapanda na kushuka hadi kero(juu chini juu chini)
inabidi uzime data au usubiri wengine wamalize kutype
Maxence Melo
Kwenye simu mbon ipo vizuri tu na tunaenjoy mkuuongezea hapo, ukitaka kutype in kwa textField (kwa jF browser),
halafu mtu mwingine akawa ana type, dash inapanda na kushuka hadi kero(juu chini juu chini)
inabidi uzime data au usubiri wengine wamalize kutype
Maxence Melo
ooh, mie natumia desktop,Kwenye simu mbon ipo vizuri tu na tunaenjoy mkuu
Be informed: The App is currently under maintenance na itakuwa tayari kwa matumizi ya umma ndani ya wiki 6 zijazoSisi tunao tumia app Maxence Melo hana habari na sisi kabisa maana changamoto ni nyingi sana tunazo kutana nazo huku.
*Kuna muda app inagoma kufunguka
*ukifungua video inakurudisha kwenye menu kuu
Tunasubiri kwa hamuBe informed: The App is currently under maintenance na itakuwa tayari kwa matumizi ya umma ndani ya wiki 6 zijazo
Hii ni habari nzuri maana tunahangaika mnoBe informed: The App is currently under maintenance na itakuwa tayari kwa matumizi ya umma ndani ya wiki 6 zijazo
Be informed: The App is currently under maintenance na itakuwa tayari kwa matumizi ya umma ndani ya wiki 6 zijazo
Una maana ya BACH kweli?kwakweli irekebisheni upande wa iphone eti haina bach navigation
back mkuu.Una maana ya BACH kweli?
Nitasubiri hadi app iwe sawa (kama ni ile ya zamani) hii app ya kwenye browser sijaielewa.Be informed: The App is currently under maintenance na itakuwa tayari kwa matumizi ya umma ndani ya wiki 6 zijazo
App ya kwenye browser ni Miyeyusho sana, hata Ile ya Zamani Nayo kufunguka inafunguka mda mrefu sana inakuwa Ina load TuNitasubiri hadi app iwe sawa (kama ni ile ya zamani) hii app ya kwenye browser sijaielewa.
Mturudushie JUKWAA LA WAKUBWABe informed: The App is currently under maintenance na itakuwa tayari kwa matumizi ya umma ndani ya wiki 6 zijazo