Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Am done mkuu!! Kumbe kosa langu nilikuwa natumia ile free basics ya zamani ya maandishi ya pink, ila nimeipata iliyoko currently active.

Asante sana mkuu. Ni ipi hiyo pale play store??
Mimi natumia chrome kuingia app inanizingua na leo nimejaribu tena kuipakua play store bado inaleta shida.Vipi upande wako app unafanya Kazi ?
Screenshot_20220527_113503.jpg
 
Maxence Melo dislike/downvote 👎 button ni muhimu sana ka mkubwa. Mimi kwangu naona ndio pungufu kubwa hapa JF.
Una mawazo mazuri lakini ukiangalia kwa upande mwingine kuna watu wanachuki binafsi kwa mtu/watu fulani hapa jukwaani. Unaweza ukakuta mtu katoa mawazo yake tena mazuri tu then linatokea kundi kudownvote,

lakini, hauoni kwamba itavunja watu moyo wa kufunguka na hofu ya kujieleza wakijihisi iq yao ndogo ndio maana anapokea Dislike kama zote kwa kila atakachosema?

Sawa,, mr. Maxence Melo unaweza kuongeza option hiyo but iwe private kama walivyofanya Youtube.
 
Mkuu tunaomba sasa mtu aweze kufuta uzi wake mwenyewe, au anapoomba kufutwa kwa uzi wake basi ufutwe bila masharti.
Hilo swala haliwezekani na Melo kashatolea ufafanuzi hata kimantiki haiji coz ni vizuri kumbukumbu zibaki ili kufukua makuburi na imesaidia sana humu kukamata matapeli na waongo.

Vile vile uzi ukifutwa michongo ya watu muda waliotumia kutype inaenda bure kama kipengele cha kufuta kikiwepo vipi michongo ya wengine inalipwa vipi na itaondoa hamasa ya kureply sababu mtu anaona muda wowote michongo yangu inaweza kufutwa..
 
Mnapofuta nyuzi muwe mnatoa na sababu juzi tu hapa nililalamikia wadada wanao inama kama ngamia wakiwa sita kwa sita badala ya kubinuka binu!..
Uzi ukafutwa sababu sikupewa!

Ahsante nanyinyi kwa ushirikiano wenu jf for life.
Nimecheka mpaka machozi yamenitoka. Najuta kutobahatika kuusoma uzi huo kabla haujafutwa.
 
Melo kwanini hupokei matangazo ya vinywaji has bia na yale ya kubeti? Ni sera ya Jf kutopokea matangazo hayo? Tukiacha hayo bado Jf kwa ukubwa wake haipaswi kuzidiwa na blog au website yeyote hapa Tanzania kwa wingi wa Matangazo ya kibiashara!

Nini kinakwamishwa kupata matangazo? Nini shida
jamiiforum ni NGO, nadhani hayo ni masharti ya wahisani ya kutoweke matangazo ya vitu vinavyosababisha urabu.
 
Hello Guys incase ukikumbana na changamoto za kupata new version ya Jamii Forum kama mimi please fata hatua zifatazo:-

1. Kama ulikuwa unatumia App kama mimi please unstall it

2. Weka kumbukumbu vizuri ya email na password yako maana itahitajika kutumika tena ku-log in

3. Futa link iliyowekwa na Maxence Melo ili kujua namna ya kuinstall the new version which ni rahisi na user friendly

4. Install the new version, log in kisha enjoy the new version

Key takeaways; Unstall the old App ili ku -install new verson. Ukiwa kwenye app hakuna sehemu ya ku-upgrade kwenda kwenye version mpya so ni lazima u-unstall

Thanks and wish y'all the best
 
Hello Guys incase ukikumbana na changamoto za kupata new version ya Jamii Forum kama mimi please fata hatua zifatazo:-

1. Kama ulikuwa unatumia App kama mimi please unstall it

2. Weka kumbukumbu vizuri ya email na password yako maana itahitajika kutumika tena ku-log in

3. Futa link iliyowekwa na Maxence Melo ili kujua namna ya kuinstall the new version which ni rahisi na user friendly

4. Install the new version, log in kisha enjoy the new version

Key takeaways; Unstall the old App ili ku -install new verson. Ukiwa kwenye app hakuna sehemu ya ku-upgrade kwenda kwenye version mpya so ni lazima u-unstall

Thanks and wish y'all the best

Yan kwa tunaotumia app tu unstall then tuna download upya au?
 
Maxence Melo pia kwenye upande wa taarifa za mtu binafsi pia mzingatie, mfano mtu akiangalia info yako anaona mpaka threads ulizochangia, nafikiri itapendeza kama hii feature ikizuiwa, kama ni kuonekana basi zionekane threads zilizoanzishwa na mhusika tu

lakini sio kwenye uzi mwingine alicomment nini na nini, maoni yake yataonekana huko huko kwenye uzi husika na sio kuyalist kwenye profile yake.
 
Mimi natumia chrome kuingia app inanizingua na leo nimejaribu tena kuipakua play store bado inaleta shida.Vipi upande wako app unafanya Kazi ?View attachment 2240493

Nenda kapakue iliyoandikwa FREE (kwenye hayo maandishi F ndo umeandikwa vizuri, hiyo R ipo upside down na EE zinaagalia kushoto). Inamandishi ya njano hivi. Ipakue na kuipata jamii forums utashuka chini palipoandwa VERIFY FREE USE OF INTERNET
 
Asante,tunaomba kwenye app mpya kuwe na maboresho haya;

1.Kwenye sehemu ya kuweka username au email,hapa tunaomba user name iwe inafutika mara tu unapo log out na sio kubakia pale kwa usalama sio nzuri.

2.Kuwe na uwezo wa ku save draft,yaani unaandika kitu unahifadhi kwa ajili ya kupost au kuendeleza baadae.
 
Back
Top Bottom