Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,098
Hamna anaeweza huu ujinga heshima ns utii itakwepo kama na wao wanatujali na kutupenda lkn sio kwa dharau hzo za kurudi asbhNi ngumu, mojawapo ni kuwa mume akichelewa kurudi usimuulize anatoka wapi au kwanini alichelewa. Wewe muulize nikuwekee chakula?
Hata akirudi asubuhi muwekee maji ya kuoga na akiwa anaoga mtaarishie chai, asichelewe kazini.
Ni wangapi wanayaweza haya?