Mabadiliko ya maana ya familia

Mabadiliko ya maana ya familia

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,638
Reaction score
220,410
1109692

Miaka ya 60,70 na kidogo 80 maana ya familia ilikuwa baba, mama na watoto. Wanaume hawakujiuliza mara mbili kuoa mjane aliyeachwa na watoto.

Siku hizi kuna wamama waliojichagulia kuwa single parents. Ndoa za kuoa single parents ni chache kwakua sikuhizi watu wana chuna mabuzi.

Unakuta single parent huyu wa kujiamulia anatumia muda wake mwingi kutafuta kipato halali na watoto wanakosa malezi. Mkiwa wazazi wawili ndani ya nyumba mnagawana majukumu.
 
No kweli, ila wanawake majukumu yamewaelemea sana ,wanaume wamekuwa 'wanauma'. Siku hizi impact ya mwanaume katika familia ni zero kwa maneno mengine ukiolewa na mwanaume anayejitambua umebahatika mengi yamebaki magalasa..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwenye magalasa mi hoi
 
No kweli, ila wanawake majukumu yamewaelemea sana ,wanaume wamekuwa 'wanauma'. Siku hizi impact ya mwanaume katika familia ni zero kwa maneno mengine ukiolewa na mwanaume anayejitambua umebahatika mengi yamebaki magalasa..
Una mambo ya ajabu sana, wanaume unatuita magalasa kweli.
 
No kweli, ila wanawake majukumu yamewaelemea sana ,wanaume wamekuwa 'wanauma'. Siku hizi impact ya mwanaume katika familia ni zero kwa maneno mengine ukiolewa na mwanaume anayejitambua umebahatika mengi yamebaki magalasa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamebaki akina Khan.
 
Wote tu tumekengeuka mi naona

Wanawake hatuna adabu kama biblia inavyotutaka

Na wanaume nao ndo yeleuwiiii!!! Hali ni mbaya mno hasa huko mbeleni sijui tutakuwa na jamii ya aina gani!!! Picha sipati

Sasa hivi tulipo ni kuviziana tu huko mbeleni ndo hatari tu
 
Napinga sana wanaosema wanaume wa zamani walikuwa hardworking. Wanaume wamekuwa wavivu miaka yote(jamii nyingi). Walichojua ni kuzaa watoto wengi ili tu wale watoto wakalime na kuleta mazao mengi. Mama zetu zamani walilima sana, huku wazee wakizurura tu au kufanya kazi kivivu.

Wanaume tumekuwa na tabia za simba dume, tunasubiri wake zetu walime then sisi tule vikiwa tayari.
 
Vingi mno na ndo hivyo tunatakiwa tuwe wapole lakini tukijifanya 50 kwa 50 sie na wanetu ndo tutakaopoteza

Uvumilivu ni kitu kigumu siku hizi na kama sisi hatuna watoto wetu ndo kabisa
 
Back
Top Bottom