Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,913
- 70,690
Unashauri tufanyeje sasa walau kupunguza negative impacts ya hili badiliko?Uvumilivu ni kitu kigumu siku hizi na kama sisi hatuna watoto wetu ndo kabisa
Unashauri tufanyeje sasa walau kupunguza negative impacts ya hili badiliko?Uvumilivu ni kitu kigumu siku hizi na kama sisi hatuna watoto wetu ndo kabisa
Tatizo liko kwa nyinyi manamake,mmezua matumizi ambayo hayakuwepo huko nyuma kama Brazilian hair,mipizza pizza na mibaga + minguo ya kushutia movie,jaman ndoa sio ajira hata kama una vyetiNo kweli, ila wanawake majukumu yamewaelemea sana ,wanaume wamekuwa 'wanauma'. Siku hizi impact ya mwanaume katika familia ni zero kwa maneno mengine ukiolewa na mwanaume anayejitambua umebahatika mengi yamebaki magalasa..
Mjerumani aliwakomesha, wanaume wote ilibidi wafanye kazi walipe kodi ya kichwa.Napinga sana wanaosema wanaume wa zamani walikuwa hardworking. Wanaume wamekuwa wavivu miaka yote(jamii nyingi). Walichojua ni kuzaa watoto wengi ili tu wale watoto wakalime na kuleta mazao mengi. Mama zetu zamani walilima sana, huku wazee wakizurura tu au kufanya kazi kivivu.
Wanaume tumekuwa na tabia za simba dume, tunasubiri wake zetu walime then sisi tule vikiwa tayari.
Hapa nakazia kwa misumariNo kweli, ila wanawake majukumu yamewaelemea sana ,wanaume wamekuwa 'wanauma'. Siku hizi impact ya mwanaume katika familia ni zero kwa maneno mengine ukiolewa na mwanaume anayejitambua umebahatika mengi yamebaki magalasa..
Mwanaume tunzaa nyumba hayo mambo ya Brazilian hair muachie anunue mwenyewe.Tatizo liko kwa nyinyi manamake,mmezua matumizi ambayo hayakuwepo huko nyuma kama Brazilian hair,mipizza pizza na mibaga + minguo ya kushutia movie,jaman ndoa sio ajira hata kama una vyeti
Nakuona cha fujoHapa nakazia kwa misumari
Hahahahahahahah my dada leo nimekuja kwa upole tu sitotia fujoNakuona cha fujo
Hahahahahahahah my dada leo nimekuja kwa upole tu sitotia fujo
Cheza kwa step tu
Unashauri tufanyeje sasa walau kupunguza negative impacts ya hili badiliko?
Mabadiliko yanaanza na wewe ukiweza nirahisi kuwafundisha/kuwaonyesha watoto wako vile inavyowapasa kuact wanapokutana na negativity issues katika jamii kiujumla
Ukiweza wewe katika familia yako na me nikaweza na yule akaweza jamii itabadilika nauwakika
asilimia kubwa ya wanawake wa zamani walikuwa wake (wife material) yaani hata ukikuta single mother basi anakuwa ni mjane, ila wanawake wa sasa hivi asilimia kubwa ni malaya (wajasiriamwili); hawa wanajiuza kwa namna moja au nyingine, na single mothers wanaotokana na kundi hili la wajasiriamwili huwa hawaolekiView attachment 1109692
Miaka ya 60,70 na kidogo 80 maana ya familia ilikuwa baba, mama na watoto. Wanaume hawakujiuliza mara mbili kuoa mjane aliyeachwa na watoto.
Siku hizi kuna wamama waliojichagulia kuwa single parents. Ndoa za kuoa single parents ni chache kwakua sikuhizi watu wana chuna mabuzi.
Unakuta single parent huyu wa kujiamulia anatumia muda wake mwingi kutafuta kipato halali na watoto wanakosa malezi. Mkiwa wazazi wawili ndani ya nyumba mnagawana majukumu.
Upo sahihi, lakini ni vyema turudi kwenye misingi ya bibi zetu tuige baadhi ya mbinu na tabia walizokuwa nazo kwa waume zao,, kasumba inayotuyumbisha ni kusema kwamba itikadi za kizamani haziwezi kufanya kazi nyakati hizi(zipo zisizofanya kazi kweli lakini ni chache)
Mwanaume anahitaji heshima, ukimtii na akakutupa basi chozi lako ni juu yake
Tamaduni tunaziacha kando kwa kuziona zimepitwa na wakati, ilhali kimaumbile tuko vile vile kama wa zamani
Wanawake pia wamekosa utii kwa sababu waume zao hawawapendi."Enyi wanawake watiini wanaume zenu,na wanaume wapendeni wake zenu"
Ukiingalia huo ujumbe utaona upungufu wa kila mtu,,,kiasili wanawake hawana utii kwa waume zao hivyo ni ngumu mwanaume kupenda,,na wanaume pia wamekosa upendo kwa wake zao sababu kubwa ni kukosekana utii
Ni ngumu, mojawapo ni kuwa mume akichelewa kurudi usimuulize anatoka wapi au kwanini alichelewa. Wewe muulize nikuwekee chakula?Upo sahihi, lakini ni vyema turudi kwenye misingi ya bibi zetu tuige baadhi ya mbinu na tabia walizokuwa nazo kwa waume zao,, kasumba inayotuyumbisha ni kusema kwamba itikadi za kizamani haziwezi kufanya kazi nyakati hizi(zipo zisizofanya kazi kweli lakini ni chache)
Mwanaume anahitaji heshima, ukimtii na akakutupa basi chozi lako ni juu yake
Tamaduni tunaziacha kando kwa kuziona zimepitwa na wakati, ilhali kimaumbile tuko vile vile kama wa zamani
umeongea fact mkuuUkiwa mtii (submissive) unapendeka kirahisi na unampa raha anayekupenda. Tatizo ni kwamba wanawake wengi wa leo hususani wasomi wanaishi kwenye ndoa kama wanaharakati na ni wabinafsi mno
Ukimpata mume hiyo 50 kwa 50 usimfanyie ya utandawazi waachie watandawazi tuUyaongeayo ni ya kweli kabisa na nakubaliana na wewe ila ni ngumu kurudi/kuwa kama bibi zetu sababu ya utandawazi zamani ilikua ni kutii kwanzia wa nyumbani kwenu mpaka majirani sikuizi kila mtu mjuaji na hivi tunawasomi wa kusema kila kitu haki sawa ndousiseme
Ukimpata mume hiyo 50 kwa 50 usimfanyie ya utandawazi waachie watandawazi tu
Ni ngumu, mojawapo ni kuwa mume akichelewa kurudi usimuulize anatoka wapi au kwanini alichelewa. Wewe muulize nikuwekee chakula?
Hata akirudi asubuhi muwekee maji ya kuoga na akiwa anaoga mtaarishie chai, asichelewe kazini.
Ni wangapi wanayaweza haya?