Mabadiliko ya katiba yanukia: Mahakama kuanzisha Supreme Court, jengo limeshajengwa Dodoma

Kuna watu wapumbavu sana. A supreme court is the highest court within the hierarchy of courts in many legal jurisdictions. Other descriptions for such courts include court of last resort, apex court, and high court of appeal. Broadly speaking, the decisions of a supreme court are not subject to further review by any other court.

Sasa unawezaje kuwa na supreme Court zaidi ya Court of Appeals kwa upande wa Tanzania?

Katiba yetu imeestablish Court System ambapo imetamka wazi kwamba Court of appeals ndio itakuwa Supreme kwa Tanzania.

Halafu hiyo supreme beyond court of appeals inajengwaje ingali hakuna changes za Katiba???

Yes kulikuwa na mjadala kuhusu kuongeza Mahakama ya juu zaidi ya CA lakini ulipigwa chini sababu lazima mchakato wa kesi ufike mwisho mtu apate haki yake, we lawyers we believe justice delay is justice denial, Sasa hata kuwa na mlolongo mrefu wa Mahakama pia ni justice denial ndipo hoja ya hiyo supreme zaidi ya CA ikapigwa chini.

So usilete maneno yako hapa ya uongo. Kawadanganye kijiweni kwenu sisi wengine Mahakamani ndio ofisini kwetu kijana.
 
Ni tatizo kubwa la mfumo wa elimu yetu unaozalisha vilaza kama huyu mlete uzi ambaye hajui hata Civics ya kidato cha nne.
 
Wewe ni kilaza, mahakama ya rufaa ndio supreme court kwa Tanzania.

IMG_4386.jpg

Mkuu Kwa hiyo Mahakama ya Rufaa tuseme ndio Makama Kuu ?
 
Kwa katiba ya sasa hakuna Supreme Court, ila jengo hilo limezingatia kwamba siku za baadaye kutakuwa na Supreme Court, maana imeshaonekana inahitajika.
 
Katika hotuba yake, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ameelezea kwamba ujenzi wa jengo la supreme court unaendelea. Bila shaka muda wowote katiba itafanyiwa marekebisho ili kuijumuisha mahakama hii, ambayo itakuwa mahakama ya juu kabisa, kwa Sasa mahakama ya juu ni mahakama ya rufani(court of appeal).
Kwa kiswahili inaitwaje?
Kwanini hatukuwa nayo miaka yote?
Au huwa inahitaji kibali maalumu toka katika jumuia au mamlaka fulani ya kimataifa kama ilivyo FIFA kwa mpira au ile ya mambo ya anga?
 
Mahitaji ya wakati
 
Back
Top Bottom