Mnyika hajatoshwa, mwishoni mwa mwaka jana aliwaandikia barua some closer confidants na kuwaambia mipango yake ya kuendelea na masomo na ya kuwa ataomba kuacha nafasi hizo za uongozi ili aweze kuendelea na masomo. Mipango yake hiyo ilijulikana mapema na kusema "aondolewa au kutoshwa" si kumtendea haki kwani ni yeye mwenyewe aliyeomba na hakuna kiongozi wa chadema (Taifa) ambaye alikuwa hajui mipango hiyo ya Mnyika.
Wengi hapa walimshauri arudi na kumalizia shule na ameona vyema kufanya hivyo wakati huu. Tusijaribu kujenga mlima kutoka katika kichuguu.
Kumalizia shule ipi?
I don't know.. labda kuendelea na masomo..
Huyu dogo nilimwambia siku nyingi hivyo vidingi vinakurostisha tafuta shule japo kwa kubeba mabox akaona namtilia kitumbua chake mchanga.
Sasa kayaona siasa ni dirty game... miaka muhimu ya umri wake kaimaliza kusutana na kina Makamba matokeo yake ni zero.
I feel sorry for young Mnyika its not too late aende shule sasa, siasa za bongo ni michosho na kurostishana tu..
Why you feel sorry for him if he had a plan to advance himself. Tuacheni hii tabia kama ya gazeti la TAZAMA. Aliomba mwenyewe nafasi ya kujiendeleza. He knows what's doing.
Huyu dogo nilimwambia siku nyingi hivyo vidingi vinakurostisha tafuta shule japo kwa kubeba mabox akaona namtilia kitumbua chake mchanga.
Sasa kayaona siasa ni dirty game... miaka muhimu ya umri wake kaimaliza kusutana na kina Makamba matokeo yake ni zero.
I feel sorry for young Mnyika its not too late aende shule sasa, siasa za bongo ni michosho na kurostishana tu..
Una uhakika?Halafu kama Kweli CCM wanataka kumsimamisha Nape huko ubungo apambanae na Mnyika basi tuseme CCM washalikosa hilo jimbo
Hao Chadema wote ni CCM asilia"Mwikabe aula, Myika atoswa"....najiuliza huko Chadema ni kipi hicho ambacho watu 'wanakula' mara wanapopata nafasi ya uongozi? ifike mahali jamani mjitofautishe na CCM ma mambo ya 'kuula'!
Hao Chadema wote ni CCM asilia
Huyu dogo nilimwambia siku nyingi hivyo vidingi vinakurostisha tafuta shule japo kwa kubeba mabox akaona namtilia kitumbua chake mchanga.
Sasa kayaona siasa ni dirty game... miaka muhimu ya umri wake kaimaliza kusutana na kina Makamba matokeo yake ni zero.
I feel sorry for young Mnyika its not too late aende shule sasa, siasa za bongo ni michosho na kurostishana tu..
Masatu,
Hebu tueleze wewe hiyo shule yako imekusaidia au kuisaidia nchi hii kivipi. Umefanya nini cha maana kwa huo usomi wako na umeona kama manyika naye akisoma kama wewe atakifanya hicho kitu. Manyika amefanya mambo makubwa kwa nchi hii na hiyo elimu yake kuliko nyie wenye masters na Phd zenu useless (wewe, kibunango na gembe kutwa kuongea mambo ya kijinga tu humu). Yaani kama usomi wenyewe ndiyo huo mnaomshauri naye akasomee halafu aje kuwa kama nyie (wasomi) mimi namshauri tu abaki kama alivyo kwa sababu sijaona tofauti yoyote kwenu.
Nyie kizazi cha kifisadi nyie we ngoja tu