Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

Kwa hiyo Gwajima aliitwa kusuluhisha nini huko CHADEMA? Mbona waandishi wetu hamuitendei haki tasnia ya habari?

Gwajima kasema kiutu uzima hawezi akamdhalilisha padri wa watu,alichokwenda kusuluhisha ni mgogoro wa Slaa kutupiwa mabegi nje na mamsapu wake vinginevyo mzee wetu angeendelea kulala ndani ya gari,Gwajima ameingiza CHADEMA na ofisi ya chama ili kumustahi mzee wetu asiendelee kuumbuka zaidi.
 
Yani huyo anyamaze tu na misukule yake.
 
Saa kwa nini aliaa na hivyo vielelezo kwa miaka 9 wakati Lowasa alisema wenye ushahidi apeleke mshakani kwa nini hakupeleka? Anazitoa kwa waandishi wa habari haisadii kitu tunajua waliompa aendelee kula nao mihogo Serena hoteli Sisi na Lowasa mpaka Magogoni
 
CCM ilikuwa imebakiza risasi moja tu katika bunduki yao ya kuimaliza UKAWA. Risasi hiyo ni hotuba mbovu,isiyokuwa na ukweli na ya kumezeshwa ya Dr.Slaa kuiponda UKAWA na Lowassa. Kutokana na kuwa Lowassa ni mpango mkubwa wa MUNGU kuikomboa Tanzania kutoka katika kundi hatari la CCM Dr Slaa ameweweseka na kujikuta akipiga risasi katika upande wake yeye na watu wake hao waliomtuma,kumlipia hotel na ndege ya kukodi kutoka Afrika ya Kusini,na kwenda Marekani ambapo ataendeleza propaganda za siasa nyeusi na chafu.Hatojali tena maslahi mapana ya Wananchi wa Tanzania.Amelipua bomu na ametokomea kukwepa madhara yake huku watu wa upande wake wakiangamia.TUNASONGA MBELE!!
 
ETI KAENDA USA leo, kwani kule kuna mihogo? atakula nini? au basi kabeba ya kula huko...
 
A.meona nchi inaenda kukombolewa na mh. Lowasa roho Inamuuma ! Yeye alizoea siasa za uana harakati na si siasa za kushika dola !
 
ASKOFU anapoonyesha yupo upande upi kisiasa ni wazi kuna tundu kubwa kwenye utumishi wake
 
Wakuu, si lengo langu kuleta udini, bali kuonya juu ya namna tunavyoweza kulipoteza taifa letu. Nimesoma majibu ya Askofu Josephat Gwajima dhidi ya Dr Slaa. Licha ya utata juu ya usuluhishi alioitwa kuufanya, nimeshitushwa na jinsi alivyohamisha mada na kuingia kwenye mtego wa wanasiasa.

Kitendo cha kusema Lowassa ni risasi ya mwisho ya CCM ni cha kujiingiza moja kwa moja kwenye siasa. Badala ya kumjibu Dr Slaa na shutuma zake, Askofu Gwajima kawaingiza CCM kama ndio wabaya wake. Sasa kwa mwenendo huu, si kweli kwamba Askofu kajiingiza kwenye ugomvi na chama cha siasa? Tena kasimama kama mpiga kampeni?

Kiongozi wa dini anaposimamia urafiki binafsi dhidi ya jukumu la muumba si sawa hata kidogo. Nasema hivi kwa sababu tangu akiwa CCM, Lowassa amekuwa rafiki wa karibu wa Askofu Gwajima. Sasa si uhusiano wa kiroho tena, bali ni wa kimwili zaidi. Mungu atusaidie tuweze kasimama katika kweli yake tu.
 
Gwajima tangu lini akawa mchungaji? Gwajima ni yale manabii ya uwongo hilo ni pepo linalopoteza roho za watu wa Mungu.
 
Wakuu, si lengo langu kuleta udini, bali kuonya juu ya namna tunavyoweza kulipoteza taifa letu. Nimesoma majibu ya Askofu Josephat Gwajima dhidi ya Dr Slaa. Licha ya utata juu ya usuluhishi alioitwa kuufanya, nimeshitushwa na jinsi alivyohamisha mada na kuingia kwenye mtego wa wanasiasa.

Kitendo cha kusema Lowassa ni risasi ya mwisho ya CCM ni cha kujiingiza moja kwa moja kwenye siasa. Badala ya kumjibu Dr Slaa na shutuma zake, Askofu Gwajima kawaingiza CCM kama ndio wabaya wake. Sasa kwa mwenendo huu, si kweli kwamba Askofu kajiingiza kwenye ugomvi na chama cha siasa? Tena kasimama kama mpiga kampeni?

Kiongozi wa dini anaposimamia urafiki binafsi dhidi ya jukumu la muumba si sawa hata kidogo. Nasema hivi kwa sababu tangu akiwa CCM, Lowassa amekuwa rafiki wa karibu wa Askofu Gwajima. Sasa si uhusiano wa kiroho tena, bali ni wa kimwili zaidi. Mungu atusaidie tuweze kasimama katika kweli yake tu.

Najua utakuwa umekula ndimu vile malimao nape alimaliza. Sasa umetokwa povu. Soma upya kauli za Gwajey ndo urudi na hoja.
 
Hahahaha chanzo chenyewe Mtanzania Sawa tu na uhuru na ccm.... Hiv Gwajima uaskofu alimpa nani?
 
Sasa naona alivyoiweka REAHANI CCM kuliko CHADEMA

Nimegundua watanzania hatujui tunataka nini. Hatuna agenda hata hiyo ya mabadiliko. Kama hatuna dira ya tunakoelekea basi tutawapeleka akina Edward wakakalie viti vyao ili waendelee na BAU. Hakuna mabadiliko kama fikra zetu ni hizi.
Dr Slaa ameonyesha kukerwa na ufisadi kwa vitendo. Hongera sana Slaa. Lakini naona shutuma hapa zinazoelekezwa kwake. Yeye kaongea kwa data, ni wajibu wa watu waliotajwa kutueleza kwa data. Evidences alizotoa jana ukweli kama sisi watanzania tuko serious na nchi yetu basi tunapaswa tufikirie kwa dhati nafasi ya mgombea urais wa Chadema.
Kwa kuwa yeye jj flag bearer basi hana budi ajitokeze mbele ya watanzania ajibu tuhuma zile kwa evidence. Otherwise mihemko tulionayo itatupeleka Libya. At least kwa sasa ambapo hajajibu lolote Lowassa hafai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano
 
Back
Top Bottom