Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

Nimegundua watanzania hatujui tunataka nini. Hatuna agenda hata hiyo ya mabadiliko. Kama hatuna dira ya tunakoelekea basi tutawapeleka akina Edward wakakalie viti vyao ili waendelee na BAU. Hakuna mabadiliko kama fikra zetu ni hizi.
Dr Slaa ameonyesha kukerwa na ufisadi kwa vitendo. Hongera sana Slaa. Lakini naona shutuma hapa zinazoelekezwa kwake. Yeye kaongea kwa data, ni wajibu wa watu waliotajwa kutueleza kwa data. Evidences alizotoa jana ukweli kama sisi watanzania tuko serious na nchi yetu basi tunapaswa tufikirie kwa dhati nafasi ya mgombea urais wa Chadema.
Kwa kuwa yeye jj flag bearer basi hana budi ajitokeze mbele ya watanzania ajibu tuhuma zile kwa evidence. Otherwise mihemko tulionayo itatupeleka Libya. At least kwa sasa ambapo hajajibu lolote Lowassa hafai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano
Salute kwako mkuu, you said it well.
 
Roho za chuki ziondoke juu yako na yule mwovu shetani aondoke kwako.nasema haya ktk jina la yesu.AMEN
 
wivu tu kubwa zima linataka raisi wakat limejarbu mara mbili limeshindwa
hapa ni lowassa tu
 
Sikutegemea kama Dr.Slaa ni mjinga kiasi kile.Hajui "wakati"wala "saa" wa kuongea jambo.Watu tulishafanya maamuzi siku nyingi.Hivyo anajisumbua tu!
 
Ni kumwonea huruma na sisi tusonge mbele.Sasa hivi wana mabadiliko tusibweteke hii ni mbinu ya ccm ya kutaka watu wamwongelee dr Slaa huku wao wanamwaga sera zao zisizo timilika wanazozirudia kila uchaguzi.Sasa cha msingi ni kila mtu huu mwezi mmoja na nusu kuanzia sasa kila mtu ana wajibu wa kutext msg au kupiga simu kwa ndugu zake huko kijijini na kutoa elimu ya kutunza shahada zao ,wasimuuzie mtu yeyote,walinde kura zao watakazo piga.wakae hata wapokee matokeo yote na wayawasilishe kwenye kata zao.La muhimu sana sana iwe mjini kwenye umeme wa uhakika au kusikokuwa na umeme.wana ukawa wote wabebe karabai zao au taa za kandiri au vibatari vyao.waviwashe kabla ya giza halijaingia.wawashe taa hata kama umeme upo hapo.huu ndio ukweli wenyewe.safari hii kazi wanayo kweli kweli.
 
Sera zake sasa Elimu, Elimu, Elimu, Kumtoa babu sea, Kuwatoa uamsho, Kumleta balali, Upuuzi mtupu
 
hakuna ufalme utadumu milele hata ccm itawale miongo mia ciku yake ikifika wataumia kuliko wanavyofikiri.
 
Dr. Slaa alikosea sana kuwaweka maaskofu kwenye tuhuma zake za kijinga.
 
teh!teh!teh!!..........
 

Attachments

  • 1441218037237.jpg
    1441218037237.jpg
    20.2 KB · Views: 340
jana dr. slaa amewakashifu sana maaskofu na masheikh. sijajua lengo lake ni nini....
 
Back
Top Bottom