Sasa Dk wa mihogo atarudisha chenji au ndio itabidi apewe kibarua kingine na wawekezaji?Maana naona muda huu watakuwa wameshaanza kudai chao na sidhani kama josshumbu atakubali chapaa itoke.
Amefanya ndani ya vikao imeshindikana na ndio maana akaamua kukaa pembeni na huo ndio uungwana....ulitaka endelee kuwa ndani ya vikao kwa kitu asicho kiamini? impact ikiwa kwa ccm kuba ubaya gani?
Kwa kiongozi mzuri alitakiwa kunyamaza.Ukigombana na Mkeo au mumeo unaenda kuita waandishi wahabari na kutoa kasoro au sababu ya ndoa yenu kuvunjika???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.