Gwajima anyamaze tu..ni msaka tonge alipomtusi Pengo alikuwa cdm baadae akaingia ccm kumuunga mkono lowasa baadae karudi cdm kuwa "mshenga" wa lowasa.
Kwa mjibu wa biblia unachanganyikiwa mara Saba zaidi.
Pia kamwacha mkewe Rose na watoto wawili lakini familia inasonga mbele!Atuambie alivyoacha upadre kanisa lilisimama au lilisonga mbele? C.D.M bado ipo imara na inasonga mbele
wakati kina magufuli wanachanja mbuga vijijini,mko busy n dr slaa ,nasikia lowasa ameahirisha kampeni na kurudi dar kumjibu slaa,na lowasa hanaga point labda aje humu jf achukue point za kusema kwenye press comf ya kesho.....
anadhani kutokea kwenye luninga ndo kutampa kura.
viijini wenye tv ni wajanja wachache,mtawazengua wanywa viroba,bodaboda na masela wachache,lowasa kuingia ikulu ni ndoto za alinacha asee
Alichojisaha Dr Slaa Ni Kuwa Watanzania Hawa Si Wale Wa Miaka Ilee Hawa Ni Watanzania Wataka Mabadiliko Haswaa Hawaigizi Yani Tuko Tayari Kuipiga Chini Ccm Hata Bila Kuwa Na Mgombea Baada Ya Hapo Ndio Tunachagua Wa Kukaa Ikulu Huku Ccm Haipo
Na huu ni mwanzo tu wa unafiki wake dr.