Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

Unataka maelezo gani zaidi wakati kila kitu kipo wazi anaweza taja maaskofu kumbe ana manisha mmoja tu.....Ngwajima unamjua wewe na anampigia kampeini nani?...Hacha kutumika hovyo kijana wewe
... watu aina yako ndo walisababisha mauaji ya haraiki nchini Rwanda....pia aina kama yako ndo walio mgoa gadhafi pale Libya.Leo wamegeuka omba omba.Hachana na genge la wauni...Low-ass hatufai ni mroho.
 
akafie mbele huyo slaa si tunasonga mbele...!!! mti wenye matunda (lowasa) ndo unaopigwa mawe...hata hvyo simba mwenda pole ndo mla nyama...kimya kimya mpaka ikulu
 
Clouds tv wanairudia hotuba ya Dr slaa muda huu. Naomba wakimaliza waweke na majibu ya Ukawa.
 
afu hajawatuhumu mashehe acha uzandiki

mkuu ulifuatilia hotuba nzima ya dr. slaa? ama umesimuliwa tu? kwa taarifa yako dr. kawaponda sana wale masheikh wa kizanzibar waliozuiliwa huku bara. amepinga suala la kuwaachia huru...
 
Kweli huyu mzee ni MBINAFSI kwa kuwa aliyeibua ufisadi wa Richmond kwa Watanzania miaka nane iliyopita yuko sahihi lakini escrow ya jana hapana hayuko sahihi . Nadhani hAta kweye
Maswala ya updre ni huu huu UBINAFSI.
 
Sasa Dr slaa kila mtu kwake ni mbaya kasoro Josephine!! Sasa hata kambi yake kainyea!
 
Dr Slaa ana leta mambo ya bungeni ya akina Mwakyembe kama ni mkweli na kama hajanunuliwa na CCM kumpigia kampeni Magufuli ni kwa nini hajamtendea haki Lowassa kwa kueleza jinsi TAKUKURU ambao ni watalamu wa kupeleleza walivyomuona kuwa hausiki na ufisadi kama alivyotuhumiwa.

Alipomtaja 2010 lowasa kwenye list of shame mbona hamkupiga kelele,
 
akafie mbele huyo slaa si tunasonga mbele...!!! mti wenye matunda (lowasa) ndo unaopigwa mawe...hata hvyo simba mwenda pole ndo mla nyama...kimya kimya mpaka ikulu
Akafie mbali Leo baada ya kusema ukweli?alupousema lowasa akiwa shujaa mlishangilia nyie ni wanafiki tu
 
Mtu akiwa mzinzi huwa haaminiki maana amezoea kudanganya
 
Mtu akiwa mzinzi huwa haaminiki maana amezoea kudanganya

Kweli unamuita mzinzi wakati alipoyasema jana ndo aliyoyasema 2010 na kuipa nguvu cdm Leo unamtukana?shida ni aliyewanunua tu adi hamjielewi,
 
Hawa viongozi wa dini hawashibi wanazo pata kutoka kwa waumini? Kama huyu kenge ndio hafai kabisa, yeye hela kidogo tu basi atafanya unacho kitaka.
Huyu tutamshughulikia baada ya uchaguzi, tunamuweka kiporo kwa sasa.

Unajitafutia laana ambazo hazina sababu kutusi watumishi wa Mungu!
 
Dr slaa na lipumba kila mmoja alitaka kugombea urais unadhani madogo hayo![/QUOTE
]
Tatizo sio urais kwani slaa alipomtaja kwenye list of shame kurikuwepo urais pia,alipoyasema hayo 2010 lowasa alikuwepo kwenye urais?
 
Back
Top Bottom