Maaskofu wamuasa Rais Samia Suluhu kuhusu haki na ustawi

Ndugu unaishi nchi hii? Umeshasahau mapambano ya akina Mwamakula, Bagonza na yule wa kabisa katoliki ngara ambaye hadi uhamiaji alifikishwa?
Maaskofu wasije kuwa wameeanza matamko yao kwa kuwa Rais wa sasa ni Muislamu, mbona wakati wa utawala wa Hayati Magufuli hawakuwa wakimshauri masuala ya kufuata haki na utii wa sheria na katiba.
 
Hao wanaojiita maaskofu ndio walipotufikisha hapa. Dini za wakoloni na bado wanatuambia tudharau asili yetu.

badala waseme tuachane na hizo dini za wageni. Halafu wanavyojiita maaskofu waache na waje tujenge nchi.

hamna kitu kutoka kwa hawa wakoloni weusi wenye kofia ya dini za kikoloni.
Na bado wanaishi kwa sadaka zetu
 
Wachawi tu hawa hawana lolote pro-maslahi hawa, hapo wanawaza kutatokea nini baada ya hili tukio. Muacheni Rais afanye kwa weledi wake sio muanze kunuongoza nini cha kufanya kwa maslahi yenu.
 
Lugha uliyotumia wala si ya kistaarabu. Kwani baya gani waliloongea hadi utukane? Hivi kwanini hampendi kusikia neno haki likitamkwa? Binadamu tuna shida kubwa sana.
Tena naongeza.fuc.k them....mimi mtu anaeish kwa msadaa wa sadaka ndo avae na ale halaf aje atoe tamko namwona kama mbuz tu...
 
Hawezi kumlidhisha kila mtu... ao wenyewe kwenye makanisa yao kuna haki? Nani kwenye jimbo anaweza kumpinga askofu zaidi ya kutii tu maneno yake.
 
Hata mwendazake alishawahi kukashifu kama hivyo, ila Mungu akafanya aliyoyafanya.

R.I.P JPM
Unahis mungu huwa anaji involve na vitu cheap kiasi hko...kumbe hujamjua mungu wa kwel ni yup ndugu..endelea kukaririshwa hao miungu wa kwenye vitabu ...mungu wa kwel hafany visasi vya kibinadam..hao miungu wenu wana characters za wanadamu.wana visasi..so dont u ever preach to me..kama ni akili ndogo..ever.
 
Na bado wanaishi kwa sadaka zetu
Kwani umelazimishwa kutoa hizo sadaka Bwashee!! Si unatoa kwa hiyari yako mwenyewe!! Tena kama ndiyo unasali kwa Mwamposa, utakuta unanunua mpaka maji, mafuta, sabuni, na vitambaa vyenye "upako" 😇
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Naamini wewe ni AFANDE SELE uliyejificha kwenye fake ID.
So fuc.k what...mim akili kubwa...siwez hata sku1 kaa na heshim hao maaskofu ambao ni politics oriented .wako kimaslah zaid na wamemwacha Mungu wa kweli....never..
 
Kwani umelazimishwa kutoa hizo sadaka Bwashee!! Si unatoa kwa hiyari yako mwenyewe!! Tena kama ndiyo unasali kwa Mwamposa, utakuta unanunua mpaka maji, mafuta, sabuni, na vitambaa vyenye "upako"
Mim si muumin wa dini ndugu yangu..mim naongea na Mungu directly .i dont need somebody to preach to me ili nimjue Mungu..ukiwa na akili unauona uwepo wa Mungu hata kama huend huko makanisan or msikitini..niliacha kwenda huko nna mwaka wa 10 huu..i talk to God directly.
 
Wa tuache tuna majonzi na simanzi tele!
IMG_20210322_201848.jpg
 
Back
Top Bottom