Maaskofu wamuasa Rais Samia Suluhu kuhusu haki na ustawi

Mbona wamekuwa wakisema sana tu Mkuu? Ulikuwa wapi?
Hebu tujiulize hao maaskofu, walikuwa wakitoa ushauri wa aina hiyo wa kuzingatia haki kwa wananchi kwa "predecessor" wake Jiwe?


Au kwa kuwa wameona huyu ni mwanamama na muislam, ndiyo wanajifanya kimbembele, wakidai kuwa wao ni watumishi wa Mungu na wanatoa maelekezo!
 
Maaskofu wasije kuwa wameeanza matamko yao kwa kuwa Rais wa sasa ni Muislamu, mbona wakati wa utawala wa Hayati Magufuli hawakuwa wakimshauri masuala ya kufuata haki na utii wa sheria na katiba.
Mbona Bagonza na Mwamakula walikuwa wanatoa Kila Siku. Mwamakula mpaka alikamatwa hivi karibuni kwa kuaandaa maandamano...!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mie sikuona kama walikuwa waoga maana walisema ukweli MTUPU hadi wengine kuanza kutishiwa kuhusu uraia wao na baadhi hadi hii leo passport zao wamenyang’anywa.
Ni kweli Mkuu, ila kama walikuwa wanasema kwa woga fulani hivi
 
Wachawi tu hawa hawana lolote pro-maslahi hawa, hapo wanawaza kutatokea nini baada ya hili tukio. Muacheni Rais afanye kwa weledi wake sio muanze kunuongoza nini cha kufanya kwa maslahi yenu.
Kweli nimeamin wananchi bado tuna tatizo si bure Rais ni better ashauriwe mana kuzibwa midomo kwa Raia ni hatari sana yatupasa tujue pia haki zetu za msingi na pale unapoona hutendewi haki basi upate pa kuitafutia haki yako kuliko kukaa kimya kisa huna pa kuongelea ni adhabu kubwa sana iyoo
 
Unahis mungu huwa anaji involve na vitu cheap kiasi hko...kumbe hujamjua mungu wa kwel ni yup ndugu..endelea kukaririshwa hao miungu wa kwenye vitabu ...mungu wa kwel hafany visasi vya kibinadam..hao miungu wenu wana characters za wanadamu.wana visasi..so dont u ever preach to me..kama ni akili ndogo..ever.
Jamaa inaonekana una hasirà sana na maaskofu ila ukisoma vzuri ni kwamba wameshauri hawajacommand
 
Mim si muumin wa dini ndugu yangu..mim naongea na Mungu directly .i dont need somebody to preach to me ili nimjue Mungu..ukiwa na akili unauona uwepo wa Mungu hata kama huend huko makanisan or msikitini..niliacha kwenda huko nna mwaka wa 10 huu..i talk to God directly.
Huyo mungu ulimjuaje km hukuhubiriwa kwanza ndipo ukamjua mungu, ubahili wako wa kutotoa sadaka ndo unawahukumu maaskaofu km unawatukana wenzio ni mungu yupo unayemuomba anayeruhusu matusi?
 
Huoni aibu kusema uongo!?
Mkuu BAK, huoni kuwa matamko hayo yalichelewa sana kutolewa kuhusu masuala ya usawa na haki za binadamu? Maaskofu hao walikuwa wapi nyakati zile watu wakibambikiwa kesi za uchochezi, wakitekwa, wakiumizwa na wengine hata kuuwawa?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
😂😂😂🤣🤣😂Wengine hao ni wa kupiga tofali la kichwa tu na kuwaweka kwenye ignore list. Nikiwaendekeza nitaishia kupigwa BAN Mkuu.
Mkuu BAK , huyu mataga anakuletea utani. Kama vipi mpe chanjo yake ya corona.
 
Wakati wa Kikwete waraka wa kanisa zilikua zikitoka mfululizo,nategemea tena kwa mama Samia itakua hivyo,piga ua awataacha kumuandama huyu mama hata afanye mema yote.
 
Back
Top Bottom