KYAMTUNDU
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,820
- 295
Ni kweli maana Askofu anapiga kura moja kama waumini wake!hao ni maaskofu!sisi waamini ni chadema damu!
Hata kama kweli aliyasema hayo ni kwamba ALIKURUPUKA kama wanavyokurupuka MAGAMBA wengine...!
CHADEMA HAIANZISHI kikundi BALI INAKIIMARISHA kilichopo!
Na kama Askofu hakulijua hilo angaliuliza kabla hajatamka...
Viongozi wengine bwana, damu ya CCM itawatokea puani...