Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Kama kawaida kwa viongozi wa kiroho wamekuwa wakiipatia jamii ya watanzania kupitia majukwaa mbalimbali hapa nchini.
Naomba tumsikikize...
Akizungumza katika Jukwaa la Demokrasia Tanzania kuhusu Gen-Z na Hatma ya Demokrasia Nchini leo Julai 9, 2026 lililofanyika visiwani Zanzibar, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza ameonya kuwa kizazi cha sasa (Gen-Z) hakiwezi kunyamazishwa kwa matumizi ya nguvu, risasi, mabomu, vitisho au propaganda, akisisitiza kuwa mbinu hizo huchochea zaidi uasi kuliko usikivu na udadisi.
Askofu Bagonza ametoa wito wa vijana kujibiwa kwa hoja, takwimu na ukweli wa yanayoendelea badala ya matumizi ya nguvu.