Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,303
Alitakiwa kwenda mbali zaidi ya hapo kama ameamua kuacha altare na kujiingiza kwenye siasa.
Alitakiwa avitaje vikundi kwa majina, vilianza lini, na vinayemtumikia ni nani!.
Ni ukosefu wa umakini kulaumu vikundi vya ulinzi huku akiacha vacuum ya ulinzi katika vyama, wakati anajua wazi yanayotendeka na walinzi rasmi-Polisi.
Huyu alitakiwa aombwe aongelee suala la Mwangosi kwanza, ndipo athubutu kulaani vikundi vya ulinzi.
Hapa ndiyo utajua mipaka ya kazi hizi inamaanisha nini!
Asanteni maaskofu, msg sent ila sidhani kama itafanyiwa kazi na hawa watu maana vichwa vyao vigumu sana.
...awahi Lumumba kabla hazijaisha......Asiyesikia la mkuu?
Akutendaye mtende ndicho kitakachowakuta chadema.
comments za hii thread zinadhihirisha wazi kuwa chadema sio chama cha kidini.
Ingekuwa arusha hili kanisa lake lingekosa sadaka wikiendi hii mpaka askofu aachane na kauli za kimagamba
Nashukuru huyo askofu amesema hayo maana ukimiya wao ungehusishwa na CDM kuwa chama cha kidini.........yote ya yote CDM wanatakiwa kutoa maelezo zaidi na ufafanuzi makini juu ya hili suala maana naona maadui wanatafuta pa kushikia.
Hampendi kuambiwa ukweli nyie watu, hilo ndio tatizo lenu..acheni uuwajiMkuu njaa haina dini huyu ni njaa tu!!!! Mwangosi aliuwawa kikatili na polisi huyu askofu alikuwa wapi!!! ..njaa noma...
Leo ndo hao maaskofu wamezinduka?! Napata mashaka sana na jinsi walivyogutuka. Wanalamikia kikosi kinachoboreshwa wakati vilivyokomaa hawavizungumzii? Makubwa!!!