kaangwa
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 644
- 193
Askofu huyu amelidharirisha kanisa la kilutheri,ni afadhari angeanza kwa kutangaza kwamba yeye ni mwanachama wa chama fulani ningeelewa.
Nijuavyo mimi kiongozi yeyote wa dini anatakiwa kusimamia haki na ukweli na kukemea pale inapobidi lakini akiongozwa na misingi ya haki,mbona hakusema lolote kuhusu mateso wanayoyapata wapinzani pale wanapotendewa isivyo.Lile bomu la Arusha kwenye mkutano wa CHADEMA alisema nini au hiyo siyo uvunjifu wa amani.Sikutegemea kuwa na watu wa aina hii ya wachumia tumbo ktk kanisa kama Lutheran,Nimeamini hizi ni siku za mwisho,na sitashangaa tena kuona makanisa yanapigwa mabomu maana mabomu siyo tatizo, tatizo ni kuunda kikundi cha kujilinda.