Maaskofu Katoliki walivyolaani mauaji Pemba 2001

Maaskofu Katoliki walivyolaani mauaji Pemba 2001

Kumbe watu wengine utaendelea kuwaona wana busara mpaka hapo watakapoongea kitu...
 
Naona ndugu Gaijin umeegemea sana katika Udini na kushindwa kujadili hoja.Tamko lilitolewa na Baraza la Maaskofu na tulichokipata toka gazeti hilo la majira ni story ya mwandishi(mhariri) na baadhi ya nukuu chache tu.Kumbuka kuwa kilichoandikwa sio tamko bali ni habari ambayo mhariri ametumia taaluma yake kuhakikisha kuwa habari yake hailaumu serikali wala CUF.

Katika paragraph ya sita serikali ililaumiwa na Maaskofu kwa kukiona chama cha CUF kama waasi na kulazimika kutumia jeshi la Polisi kuwaua.Ukisoma vizuri paragraph ya sita utagundua kuwa mhariri alitumia taaluma yake vizuri kuepuka uchochezi kati ya Maaskofu na Serikali pamoja na gazeti la Majira na serikali.Nanukuu paragraph ya 6

"Baraza pia limesema kuwa Watanzania wengi hawajajua mwelekeo wa demokrasia ya siasa za vyama vingi ambayo husababisha wengine kuona kuwa kutokukubaliana au kuhitilafiana katika jambo Fulani la kisiasa ni uasi au uadui"

Ukiichambua hii paragraph utajionea kabisa kuwa Watanzania ni pamoja na serikali na pia CUF hawakukubaliana na matokeo ya Urais wa Zanzibar wa Oktoba mwaka 2000.Kwa mtaji huo wakaanzisha maandamano huko Zanzibar na kwa hilo basi serikali wakawaona kuwa CUF ni maadui au ni waasi.Siku zote kukabiliana na waasi lazima utumie jeshi lako na lazima waasi wauawe na ndivyo ilivyotokea ambapo waandamanaji waliuawa .Hapo utajionea mwenyewe kuwa serikali ililaumiwa.

Kwa hiyo Gaijin lazima ufahamu kazi ya mhariri na kutofautisha Tamko na habari.Napenda kuhitimisha kuwa Maaskofu waliwalaumu serikali baada ya mauaji ya January 26 na 27,2001.Kama ushauri ungefuatwa na serikali basi mauaji ya Arusha yasinetokea
 
Naona ndugu Gaijin umeegemea sana katika Udini na kushindwa kujadili hoja.Tamko likitolewa na Baraza la Maaskofu na tulichokipata toka gazeti hilo la majira ni story ya mwandishi(mhariri) na baadhi ya nukuu chache tu.Kumbuka kuwa kilichoandikwa sio tamko bali ni habari ambayo mhariri ametumia taaluma yake kuhakikisha kuwa habari yake hailaumu serikali wala CUF.

Katika paragraph ya sita serikali ililaumiwa na Maaskofu kwa kukiona chama cha CUF kama waasi na kulazimika kutumia jeshi la Polisi kuwaua.Ukisoma vizuri paragraph ya sita utagundua kuwa mhariri alitumia taaluma yake vizuri kuepuka uchochezi kati ya Maaskofu na Serikali pamoja na gazeti la Majira na serikali.Nanukuu paragraph ya 6

"Baraza pia limesema kuwa Watanzania wengi hawajajua mwelekeo wa demokrasia ya siasa za vyama vingi ambayo husababisha wengine kuona kuwa kutokukubaliana au kuhitilafiana katika jambo Fulani la kisiasa ni uasi au uadui"

Ukiichambua hii paragraph utajionea kabisa kuwa CUF hawakukubaliana na matokeo ya Urais wa Zanzibar wa Oktoba mwaka 2000.Kwa mtaji huo wakaanzisha maandamano huko Zanzibar na kwa hilo basi serikali wakawaona kuwa CUF ni maadui au ni waasi.Siku zote kukabiliana na waasi lazima utumie jeshi lako na lazima waasi wauawe na ndivyo ilivyotokea.

Kwa hiyo Gaijin lazima ufahamu kazi ya mhariri na kutofautisha Tamko na habari.Napenda kuhitimisha kuwa Maaskofu waliwalaumu serikali baada ya mauaji ya January 26 na 27,2001.Kama ushauri ungefuatwa na serikali basi mauaji ya Arusha yasinetokea

Siku hizi imekuwa jambo lolote linalojadiliwa kama haliendani na msimamo wa dini (uwe wa waislam au wakristo) linaitwa udini kwa hiyo sishangai kupachikwa hilo japo kuwa nimeweka wazi kuwa sidhani kuwa tamko lilikuwa lilivyo kwa sababu waliouwawa ni waislam.

Mimi najadili kwa kilichowekwa hapa. Sina tamko lenyewe. Kwa kile kilichoandikwa kwenye makala hii ni kuwa Kanisa liliegemea upande wa serikali ukitizama kwa mapana yake.

Nukuu za moja kwa moja zinaonyesha kuwa zimeeleza sababu za machafuko ziko kwa wananchi na sio kwa serikali.
 
hitimisho;

a) Maaskofu walitoa tamko mwaka 2001.

b) Tamko hilo lilikemea kilichotokea.

Hoja ilikuwa maaskofu hakukemea. Safari hii wamekemea. Sasa hoja ya nyongeza ni kwa nini hawakukemea vikali. Sidhani kama hoja ya nyongeza ina mshiko kwa sasa. Cha msingi walikemea na wakshauri. Serikali haikusikiliza ushauri wao kwa hiyo safari hii wameikemea zaidi. Hata kama walikuwa upande wa serikali then basi kwa kitendo hicho kurudiwa wana kila sababu ya kutoitetea serikali zaidi. Tusubiri kama CUF watapigwa tena tuone kama maaskofu wataitea serikali. Lakini CUF na wao wapigwe kwa kuonewa sio wafanye ukaidi ili wapigwe wategemee kutetewa na maaskofu na watu wengine! Waandamane kuhusu Dowans tujiunge nao. Wakipigwa na maaskofu wakikaa kimya ukweli utajulikana!

Mkuu wewe ni mwanasheria na nina uhakika hata siku moja hautoweza kuwasilisha utetezi kama huu based on on extracts kama zile kwenye attachment. Bandiko hili linaonyesha kwamba an expression of sympathy rather than a condemnation ya mauaji yaliyotokea.
Gaijin ametanabaisha vizuri tu, bandiko hili linazidi kuwakaanga maaskofu.

Ila ni bora hii mijadala ya nani kafanya hivi, nani kasema vile, fulani akampinga ifungwe. Viongozi wote wa dini ni bora warudi kwenye nyumba zao za ibada na wakaliombee taifa hili amani na dhambi walizochangia kuzileta za ubaguzi, dharau na kejeli.

It was refreshing kusoma gazeti la Mwananchi wikiendi hii iliyopita ambapo viongozi wa dini hizi za Abraham waliungana kumtetea ajuza aliyekuwa anataka kuporwa ardhi yake na Halmashauri ya Njombe. Hii ilionesha jitihada za pamoja za kutetea wanyonge na kujenga social cohesion na sio kubomoa kama baadhi ya rhetoric za sasa zinavyohatarisha
 
Ni kweli jamani. Sisi ni watanzania , nchi ni yetu wote. Itikadi zisitufanye nasi tuwe kama Darfur, dini ziwe kanisani na msikitini. mwaka 2005 JK alipata kura 80% alipigiwa na waislamu tu, je wakati huo JK alikuwa mkristo ndio akashinda? CCM na JK hazipingwi kwa ajili ya uislam wa JK, zinapingwa kwa utendaji mbovu. sasa hivi kuna sakata la dowans, umeme umekuwa juu, labda nyie wenzetu waislam mnanunua umeme bei rahisi kwa sababu rais wenu muislam, na je wakati wa miaka saba ya mwanzo ya mkapa kulipokuwa hakuna mfumuko wa bei , wenzetu mlikuwa mnapandishiwa bei? Je walimu wa shule za wazazi wanaocheleweshewa mishahara ni wakristo tu?
mafuta yalivyopanda sasa hivi, ni wakristo tu inawaathiri? jamani tuangalie, tusitetee ujinga, kwa madai ya kujenga mshikamano wa kidini, wakati kuumia tunaumia wote, waliogoma UDOM, Mkwawa, ARdhi kwa kukosa pesa za kujikimu ni wakristo TU? tusitumiwe na watu wachache tukachuma dhambi. Wakati wao wanaoa kila uchao na wana mabibi ulaya nzima, sie tunalala kiza na kulipa deni la dowans wakati wattoto wetu wanasoma kwa shida.
 
mimi naona kemeo la wakatio ule lilikuwa neutral zaidi, na nyakati ni tofauti, hata wapiga kura tulikuwa tunaongea tofauti, hata wanasiasa hawakuwa bold kama sasa, wakati ule hata wao walikuwa wanapinga mambo generally, hawasemi nani kafanya nini, lakini miaka kumi baadaye, kila mtu yuko bold zaidi, na hata maaskofu wamekuwa bold zaidi kusema kitu kama kilivyo, wanaposema elimu ya uraia inahitajika, unadhani elimu ya uraia serious inaisaidia serikali au kuwafungua watu macho waone kwamba vitu vinavyofanyika havifai? tamko la wakati ule lilikuwa linafiti wakati ule na la sasa linafiti sasa, wakati wa mwalimu ndio ingekuwa vingine kabisa, mbona hhamjasema shivji kwa kukosoa katiba zote zilizopita kwani alikuwa hayupo au alikuwa hajui? si kasema sasa kwa sababu sasa upepo wa siasa unaruhusu kusema vile alivyosema!
lets get real!
 
Mkuu wewe ni mwanasheria na nina uhakika hata siku moja hautoweza kuwasilisha utetezi kama huu based on on extracts kama zile kwenye attachment. Bandiko hili linaonyesha kwamba an expression of sympathy rather than a condemnation ya mauaji yaliyotokea.
Gaijin ametanabaisha vizuri tu, bandiko hili linazidi kuwakaanga maaskofu.

Ila ni bora hii mijadala ya nani kafanya hivi, nani kasema vile, fulani akampinga ifungwe. Viongozi wote wa dini ni bora warudi kwenye nyumba zao za ibada na wakaliombee taifa hili amani na dhambi walizochangia kuzileta za ubaguzi, dharau na kejeli.

It was refreshing kusoma gazeti la Mwananchi wikiendi hii iliyopita ambapo viongozi wa dini hizi za Abraham waliungana kumetetea ajuza aliyekuwa anataka kuporwa ardhi yake na Halmashauri ya Njombe. Hii ilionesha jitihada za pamoja za kutetea wanyonge na kujenga social cohesion na sio kubomoa kama baadhi ya rhetoric za sasa zinavyohatarisha

Sidhani kama bandiko hilo linawakaanga maskofu hata kidogo, hata kama hawakutumia lugha kali kama ambavyo tungependa iwe hivyo...hivi kweli mngetegemea hao maaskofu watamke kuwa hawamtambui Komandoo Salmin Amour ndio turidhike kuwa wametoa tamko kali???
 
Hilo siyo tamko/onyo ila niushauri ..hapo hamna tamko watoe tamko wakati kiongozi ni mwenzao lol thubutu tunawjua kwa unafiki
 
kwahiyo watu wanataka matamko yafanane bila kuzingatia wakati na matakwa ya wakati, Basi kusingekua na haja ya vikao , maana wangekua wanatoa kopi ya tamko lao la miaka hiyo na kulipaste leo........................
 
Gaijin hapa jf tuliaminishwa kuwa maaskofu hawakutoa tamko. Sasa kesi imebadilika ni kuwa walitoa tamko jepesi. Unaona kuna mtu anajaribu kuilisha jamii sumu ili watu waone kuwa maaskofu wanafanya kazi ya kusahihisha maovu anapokuwepo kiongozi mwislamu lakini ikiwa ni mkristo wako kimya. Je huu ni ukweli?? Inawezekana ni kama wahalifu sugu wafanyavyo anakujeruhi halafu anakuwahi polisi.
Hivi mnambembeleza wanini mwacheni aendelee kuamini anavyoamini kwani atawafanya nini wakristo au atafanya nini, watu wakorofi wanaopenda maneno wako hivyo huwa hawaridhiki.
 
Hilo siyo tamko/onyo ila niushauri ..hapo hamna tamko watoe tamko wakati kiongozi ni mwenzao lol thubutu tunawjua kwa unafiki
Hujui maana ya tamko ina maana waislamu mliposema mnataka vyeo nusu kwa nusu lilikuwa onyo na kwa nani.
 
Nyongeza,

Tamko la Maaskofu liliwekewa msisitizo pale ambapo polisi waliwafuata waandamanaji, (nyuma ya Polisi mkoa ni makao makuu ya Dayosisi) kanisani ambako baadhi walikimbilia kujisalimisha na Dayosisi ina wafanyakazi wengi, hivyo Police walienda pale kwa kujihami wakapiga mabomu ya kutosha church na kuwafuata watu kanisani ndani bila kujua huyu ni mfanyakazi au aliyejihami na police. Wakafanya fujo za kuwapiga na mabomu.

Kuna vijana waliwaacha pale uwanjani waiwa wanavuja Damu bila kuwahudumia na waliokuwa na maumivu ya kipigo. Ilibidi Askofu ndio ampigie simu mmoja wa viongozi wao wakubwa ili atume gari la kuja kuchukua majeruhi na kuwaambia waaombe radhi kwa kuwadhalilisha kama ujuavyo mpaka leo police hawajawaomba radhi Wanahabari pamoja na Tamko la Wasira waziri kusema akiwa Arusha.

Naelewa walifanya fujo pia katikati ya mjini kukiko na imani mbalimbali, kila mangt na reaction yake.

hitimisho;

a) Maaskofu walitoa tamko mwaka 2001.

b) Tamko hilo lilikemea kilichotokea.

Hoja ilikuwa maaskofu hakukemea. Safari hii wamekemea. Sasa hoja ya nyongeza ni kwa nini hawakukemea vikali. Sidhani kama hoja ya nyongeza ina mshiko kwa sasa. Cha msingi walikemea na wakshauri. Serikali haikusikiliza ushauri wao kwa hiyo safari hii wameikemea zaidi. Hata kama walikuwa upande wa serikali then basi kwa kitendo hicho kurudiwa wana kila sababu ya kutoitetea serikali zaidi. Tusubiri kama CUF watapigwa tena tuone kama maaskofu wataitea serikali. Lakini CUF na wao wapigwe kwa kuonewa sio wafanye ukaidi ili wapigwe wategemee kutetewa na maaskofu na watu wengine! Waandamane kuhusu Dowans tujiunge nao. Wakipigwa na maaskofu wakikaa kimya ukweli utajulikana!
 
je baada ya tamko hilo 2001 (jepesi kama baadhi ya watu wanavyotaka tuamini) kuna yoyote alitamka kuwa waache kujihusisha na siasa?

Swali lako ni zuri sana gagagigikoko na ni muhimu walalamikaji wakalijibu
 
Hilo siyo tamko/onyo ila niushauri ..hapo hamna tamko watoe tamko wakati kiongozi ni mwenzao lol thubutu tunawjua kwa unafiki

Huwa hamkosi cha kulalamika ukileta hili ukajibiwa unazusha hili. Tumeshawazoea nyie!
 
Hivi mnambembeleza wanini mwacheni aendelee kuamini anavyoamini kwani atawafanya nini wakristo au atafanya nini, watu wakorofi wanaopenda maneno wako hivyo huwa hawaridhiki.

Hakuna atakayetumbembeleza mkuu, sisi tutaendelea tu kupambana iwe mnafurahi au mnachuki ndiyo maana inaitwa dunia uwanja wa mapambano ahera mapumziko ok...

Maaskofu unafiki wao umeshikwa umejulikana wanatapatapa
 
Pia wakati tunaendelea na kupanuana mawazo ni
ngeomba tukumbushane
1. Tamko la mashehe,imamu, ama waislam kwa mauaji ya Pemba
2. Tamko la mashehe,imamu ama waislam kwa mauaji ya Arusha
Najikumbushia kuna kipindi kuna wanamziki walikuwa hawawezi ku HIT basi wakaanzisha kajitabia ka kusubiri wenzao watoe nyimbo halafu wao wakawa wanazigeuza. Sasa ndo mambo tunayoyaona leo hata kwenye mambo makubwa, na hii inamaanisha mtu kusema hivi anaubatiza mji wa arusha kuwa ni wa waKristu
Pia kwa ndugu zangu waislam wa arusha hawa wenzetu wanamaanisha hapo mlipo ninyi ni kama wakristu uislam wenu ni wageresha tuu maana wameshindwa kumtambua hata yule mmoja kuwa ni muislam mwenzao.
 
Back
Top Bottom