Bhakusyobhile
Member
- Aug 1, 2018
- 47
- 126
Habari wana-jamii forum?.Naomba msaada,..Kuna gari hapa imekuja kutoka JAPAN (ni NOAH TOWNACE) imekuja na maandishi kwenye kioo cha mbele,pembeni kwenye bonet na nyuma. Ni maandishi yaliyo andikwa kwa wino mweupe kwa miandiko tofautitofauti,nadhani ni wakati wanafanya clearing kwenye mabandari.Sasa nimejaribu kufuta lakini hayafutiki.,Je naweza kutumia njia gani kuyafuta pasipo kudhuru gari?maana yanaleta show mbaya kwenye gari!