Clack-Sniper
Member
- May 16, 2025
- 39
- 74
Maoni yangu kwa Wananchi na Gen Z. Kwenye maandamano yatayofuata tufuate siku ambapo kuna public event ambayo lazima watu watatoka.
Siku ya uchaguzi ilikuwa rahisi kwa sababu hawakuweza kuzuia watu wasitoke maana watu walitakiwa kwenda kupiga kura.
Awamu nyingine iwe kwenye mikutano ya Viongozi yeyote Raisi au Waziri tuwafuate na Mabango yetu. Hawataweza kuzuia watu wasiende maana tukio limeandaliwa kwa ajili ya watu kuhudhuria.
Hii ya Leo wamewaza kwa sababu hakukuwa na Event nyingine public leo na watu hawaendi maofisini ndio maana imekuwa rahisi kwao kuzuia Barabara zote