Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

Naunga mkono hoja. Iringa tukutane .Samora.
Asante Sana Wana Iringa, Dar es salaam tutakutania viwanja vya Jangwani.
Nimepata Pia taarifa kutoka Arusha watakutania nje ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Mbeya wameniambia watakutania viwanja vya airport ya zamani, songea karibu na uwanja wa Majimaji.
Hivi nasubiri mikoa mingine ili nitoe taarifa rasmi
 
Huyu Mama mwanzoni alinipa matumaini kidogo ila kuna mambo yameanza kunipa wasiwasi.Mfumuko wa bei uko juu, gharama za umeme ndio kama tulivyosikia. Kuhusu demokrasia bado anga halijatulia.
Doa jingine ni kwa ishu ya Ndugai, Ndugai anaongoza bunge ambalo kazi yake kubwa ni kuisimamia Serikali. Kwa kawaida mchakato wa kukupa huwa haupiti bungeni, hivyo Spika na wabunge kwa ujumla wanapaswa kuhoji na kudadisi mikopo serikali inayokopa nje au ndani ya nchi.
Pamoja na kwamba Ndugai alikuwa ni Spika wa hovyo nadhani hakupaswa kulazimishwa kujiuzulu kwa kuhoji tu namna Serikali inavyokopa, labda kama kuna sababu ya zaidi ya hiyo.
Huyo mama uwezo wa uongozi ni mdogo Sana, hili jambo la Ndugai wananchi tukikalia kimya itasababisha hata watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi watashindwa kuongea.
 
Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.

Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.

Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Alisema clip ilitengenezwa
 
Asante Kwa ushirikiano wako, Pia nimepata taarifa sasa kwamba Dodoma watakutania karibu na viwanja vya Bunge kuelekea ofisi ya makamu wa Raisi.
Asanteni sana
Pamoja ila msianze lolote mpaka tufike.
 
Kipindi wapinzani wanaambiwa wakiandamana watapigwa mpaka wachakae mlikua mnachekelea.

Sasa ni zamu yenu kupigwa mpaka mchakae.

Andamaneni mkione cha moto [emoji2]

Mungu wetu ni mwaminifu sana, hujibu kila jambo kwa wakati wake [emoji120]
 
Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.

Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.

Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Kajaribu kupeleka mpua wako barabarani kitakacho kupata uje utuhadithie
 
Ndugai ameshatuwakilisha wananchi, ni mda wetu wananchi kuandamana Kwa kumuunga mkono.
Ndugai ni shujaa

Shujaa gani anakana alichosema. Tena unalia nimekosa Sana Mimi mnisamehe. Shujaa anapambana mpaka mwisho. Ajifunze kwa kina mbowe ambao wako tayari kufia jela bila kuomba msamaha.
 
Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.

Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.

Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Wataandamana kwa kibali cha nani? Kuna mtu alitikisa kiberiti kumbe kimejaa njiti. Usidanganywe kuwachezea wenye dola utaumia ndugu yangu. Labda waandamane nyuma ya keyboard si barabarani. Kama huamini jaribu uone!
 
Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.

Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.

Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Kiuhalisia hakukuepo na haja ya kuweka tozo kama pesa ya kujenga madarasa itakopwa
 
Back
Top Bottom