Tangu lini Nduguy alipambana kwa ajili ya wananchi wa hali ya chini?
Oneni aibu wakati mwingine,huyu ndugai bunge lake si ndilo lililopitisha tozo ya miamala ya simu?
Kwa hili sioni haja ya kuamini kuwa Ndugai ni mpambanaji kwa ajili ya wanyonge.
Mirundikano ya kodi na tozo kadhaa zilipitishwa na bunge la Ndugai.
Kwa mtazamo wako lipi ni bora,kuongeza tozo na kodi kwa wananchi au kukopa ili kuendesha miradi ya nchi yetu?
Samia makosa yake ni hapa ""UMEME KUTOKA 27,000/- kwenda alipoona panamtosha na ile kauli ''Wananchi wamekubali kulipa tozo''
Mwambieni Hatujaridhika bali hatuna namna