mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,573
- 10,223
Kabsaaa tusiingiliane kila mtu apambane na hali yakeHuwa wanasemaga kila MTU ashinde mechi zake !!
Kabsaaa tusiingiliane kila mtu apambane na hali yakeHuwa wanasemaga kila MTU ashinde mechi zake !!
Wanaandamana online wanatumia google map kukatiza mitaa.Maandamano yamefikia wap
Maandamano ni dalili ya watu kutambua. Haki zao watanzania wengi hawatambui haki zao ni zuzuWatanzania gani hao wa kuandamana [emoji1787] labda ujisemee mwenyewe mkuu
Sawa waendelee huko hukoWanaandamana online wanatumia google map kukatiza mitaa.
Akafie mbele hukotatizo ndugai hakujijua kama yy anaongoza mhimili ambao uko independent.aliendekeza mizaha bungeni ndo maana hata wabunge wenzake hawakumsapoti na mama aliona hiyo ni fursa ya kumgonga nyundo ya kichwa.
😂😂😂Sawa waendelee huko huko
Sitak kuwaona barabarani
Alishindwa kuwa shujaa wakati wa hiyo mijadala inavopitishwa hyo mikopo tena akiwa speaker, eti anakua shujaa kwa kuropoka nje ya bunge mbona hata wabunge wengi wa upinzani w aliongea tangu Enzi za JPM kuhusu iyo mikopo ila hamkuandamana... Tuandamane Leo kisa mtu wa garilaya ambae alikuwa anaruhusu mambo ya ovyo na hayo ma mikopo kupita bungeni kirahisiNdugai ameshatuwakilisha wananchi, ni mda wetu wananchi kuandamana Kwa kumuunga mkono.
Ndugai ni shujaa
Wewe ni professional broker?Hiyo tender nlishapewa siku nyingi
Tafuta kazi nyingine wewe
Watanzania sisi sote ni marehemu,nani atamzika mwenzie wakati we mwenyewe ulishakufa kitamboMuda wowote tunakuzika
Upo sahihiWewe ni professional broker?
Utajua mwenyeweWatanzania sisi sote ni marehemu,nani atamzika mwenzie wakati we mwenyewe ulishakufa kitambo
Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.
Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Sawa.msomi mwenzanguUpo sahihi
Upo teyari?Naomba mnipe Bango, maama mimi nitakuwa mstari wa mbele kabisa katika Maandamano hayo.
Sawa sawaTundu kn mtu Alimwita ling’ombe,,kakusaidia nini hadi uandamane?
Mimi na-declare interest,kama yakiwepo nitakuwepo.Nchi zipo kwenye verge ya ku-collapse kwa sababu ya mikopo,halafu sisi bado tunang'atng'ania mikopo,ni upimbi wa hali ya juu sana.Angalia👇 nchi zenye uwezekano wa ku-collapse 2023 kwa sababu ya mikopo.Ndugai was right, sisi wananchi tunajukumu la kumuunga mkono.Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.
Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini