mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,570
- 10,217
Sasa unatafuta nn kwa jiran??Kwa watanzania hawa ambao yeye akishiba na familia yake matatizo ya jirani hayamuhusu[emoji28] sahauni maandamano!
Ukikuambia hatak kiherehere chako utachukia???
Sasa unatafuta nn kwa jiran??Kwa watanzania hawa ambao yeye akishiba na familia yake matatizo ya jirani hayamuhusu[emoji28] sahauni maandamano!
Maandamano yamefikia wapHaya ni maandamano ya amani na hatutaki kujihusisha na chama cha siasa chochote.
Kuhusu mabomu tumeshajiandaa na hiyo hali
Vp walifika??Asanteni Ila mda rasmi upo, hivyo jitahidini mfike mapema
Anavuna alichopandaNdugai alichomfanyia Tundu lissu acha kabisa huyu jamaa ana roho mbaya sana
Usitudanganye wewe ni sisiem umeumia baada yakuona mataga mwenzako amejiuzulu mwenyewe bila kulazimishwaSisi sio wapinzani au chama cha siasa, kuhusu kupigwa tulishajiaandaa na hiyo hali endapo ikitokea Ila haya ni maandamano ya amani, hivyo tunahitaji amani kwenye maandamano yetu
Vp walitangaza hayo maandamano au media ziliwasusia??Maandamano yapo ndugu, Kesho utasikia kwenye vyombo vya habari
Hiyo tender nlishapewa siku nyingiHii nchi ipigwe tu mnada mahakama initeue dalali nitafute mteja
Uoga tulipewa na baba wa taifaKwanini mnakua waoga hivyo, hiyo itikadi ya uoga mmeitoa wapi?
Kwanini watanzania hamthamini thamani ya nchi yenu?
Vp mshaandamana??Maandamano yapo kikatiba, hivyo ni vyema maandamano yaandaliwe kwa kufuata kanuni na taratibu zilizopo. Naunga mkono 100% maandamano hayo
tatizo ndugai hakujijua kama yy anaongoza mhimili ambao uko independent.aliendekeza mizaha bungeni ndo maana hata wabunge wenzake hawakumsapoti na mama aliona hiyo ni fursa ya kumgonga nyundo ya kichwa.Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.
Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Ningekuvunja miguu kudhubutu kuandamana??Mm simo!!
Mmefikia wap kuandamana??Watanzania wameshachoshwa na hizi sarakasi za serikali sasa, Kwa taarifa yako hii taarifa imeshasambaa Kwa machinga wote, bodaboda, na wananchi wengi wa kawaida.
Ninyi wanufaika wa mifumo ya kinyonyaji ya serikali hii hatuwahitaji.
Mi wakifika kwangu ntawavunja miguu tuuNiandamane kwa ajili ya Ndugai mangapi kayapitisha? baada ya kuona awamu hii imempa kisogo anataka tumuone wa maana upande wangu hapana kaita wangapi wakajiekeza kwenye kamati ya maadili ya bunge kwa kusema ukweli? Mliowakilishwa andamaneni mkifika maeneo yangu nitawapeni maji ya kunywa muendelee na safari
Mlipata kibali??Kwa taarifa yako, kibali tupo hatua ya mwisho kupata, kwani Pia polisi wanaotoa vibali wamechoshwa na haya yanayoendelea nchini na sarakasi za serikali.
Taarifa zimeshafika katika vijiwe vyote vya bodaboda Dar, na machinga wote
Muda wowote tunakuzikaSisi watanzania sio watu,ni wafu tunaotembea
Huwa wanasemaga kila MTU ashinde mechi zake !!Sasa unatafuta nn kwa jiran??
Ukikuambia hatak kiherehere chako utachukia???
Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.
Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini