Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

Kuna kila uwezekano POLISICCM na serikali ya magamba wameshindwa kuzuia maandamano haya kwa kutambua umuhimu wa waandishi wa habari.

Wanajua kabisa waandishi wana nguvu kubwa katika jamii,na wamefikiria impact yake wakaona ni mbaya kwao. Pia wameona kushindwa kuzuia maandamano ya Waislamu juzi ni doa katika kujaribu kuzuia haya ya leo!

Jambo moja nalojiuliza kama Polisi japo kwa shingo upande na mvutano wameridhia maandamano ya Waandishi wa habari kwa mauaji ya mwandishi mwenzao, Mwangosi ni kwa vipi basi walizuia maandamano ya madaktari kulaani kupigwa vibaya na kujeruhiwa kwa dokta mwenzao Stephen Ulimboka?

Au sababu ni Ulimboka hakufa? Au sababu ni ipi? Maana Mwangosi aliuawa mikononi mwa Polisi na Ulimboka Usalama wa Taifa wanatuhumiwa kwa kupigwa kwake, au kwa sababu mtuhumiwa ni kubwa lao Usalama wa Taifa?
 
(Hicho haswa ndio ninachokishauri mimi maana tukifika 2015 michezo mibaya ni mingi sana na pesa itapotea nyingi sana.)

kweli kabisa. we huoni wametunga sheria mbovu ya nssf tusichukue mafao yetu kusudi watumie pesa hizo kwenye mbinu chafu uchaguzi ujao.
 
Nchimbi aliwaambia akijiuzuru hamtapata waziri mzuri kama yeye.
 

Hata mimi naamini hivyo, hizi ni alama alizotuachia na familia yake imeweka.kufa akiwa na akamera, kilio cha mtoto na mama kulala kaburini ni ALAMA ZA UKOMBOZI
 
Sauti yenu inaweza kuleta mabadiliko kidogho! Maana bila maandamano hakuna kumshtua BABA Riz 1.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

 

Attachments

  • DSC_1314.jpg
    489.1 KB · Views: 334
  • DSC_1318.jpg
    22.2 KB · Views: 317
  • DSC_1328.jpg
    487.7 KB · Views: 330
  • DSC_1331.jpg
    587.5 KB · Views: 60
  • DSC_1359.jpg
    457.1 KB · Views: 322
  • DSC_1381.jpg
    331 KB · Views: 307
  • DSC_1383.jpg
    241.4 KB · Views: 294

But wamezuia katika baadhi ya mikoa, kama Mara
 
Suala sio kutembea umbali mrefu bali ni kufikisha ujumbe
Mbona mmetembe km chache sana DTV na Jangwani Hata km 5 hazifiki,mmeshindwa hata na yule jamaa wa mafinga aliyetembea km56? @lst mngetembea hadi viwanja vya chuo kikuu mkafanye mkutano ili ujumbe ufike kwa wengi.
 
mimi kila siku nakatiza humu nikitarajia kuona habari za jinsi rpc na askari wote waliokuwepo pale saa ya mauaji wamekatwa wamewekwa rumande bila dhamana, lakini jiiii!!!

What the.....
 
Kadanganye wengine!sio hapa Jf,rais=ccm=mawaziri=mwanasheria mkuu=jaji mkuu=s mwema=mkuu wa majeshi=rpc=rco=rc=dc=------_u-_-_-_result is what??
 
Waziri wa habari amefika Jangwani kuongea na waandishi wa habari walioandamana kwa ajili ya kifo cha Mwangosi lakini amezomewa vibaya, na walipoulizwa waandishi ni wangapi wanataka awahutubie wote wamemkataa, ikabidi aondoke kwa aibu kubwa.

Silaha ya wanyonge ni umoja wao. Big up sana wana habari,ujumbe wenu umefika very clear,
 
Wazo tu, gomeeni kunadika habari angalau kwa siku moja tu! Au muisusie taasisi au serikali kuandika habari zake kwa wiki hivi mnaonaje?
 

Wewe unatakiwa ukapimwe akili.PERIOD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…