msemakwelii
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 216
- 47
Kwisha habari yao hao wanaodhani kuwa kuandamana ndio Elimu, Busara, Hekima, Na Utashi, Sasa asielewe kiswahili Kesho aandamane, inawezekana anajua Kiarabu tu Kova ila kasahau kutangaza kwa kiarabu
Tafadhali bana...usimfananishe Cardinal Polycarp Pengo na wahuni wanaovamia viwanja vya watu, kuchoma, kuiba mali za Kanisa na kuhamasisha vitendo vya uvunjifu wa amani nchini . Pengo na Ponda ni kama mlima na kichuguu, kichuguu kikiwa ni Ponda...tafadhali sana...Wakristo wananishangaza! maana utadhani Waislamu ni mke wenza wenu ambae mnashea nae Mume!! Waislamu wakitoa maoni yao ya katiba kuwe na kadhi, utasikia Wakristo nao wanapinga maoni hayo! yaani ninyi hamna cha kuchangia ila kushindana na Waislamu tu! dini yenu ndio inafundisha hivyo?
Sasa Waislamu wakiandamana kushinikiza Ponda aachiliwe ninyi kinawahusu nini? Kadinali wenu akishikwa na Polisi bila ya dhamana mtanyamaza tuli na kukubali kuchapwa kibao shavu la pili?
Huo upendo mnaofundishwa Kanisani ndio sampuli hiyo? ndio maana vibaka huwavunjia Makanisa yenu sababu kile mnachofundishwa Kanisani ni tofauti na mnachokitenda!!!
Wivu ukizidi sana matokeo yake ni kifo tu!!!
Toka nizakiwe
mpaka nafikisha miaka sasa 30 sijawahi kusikia maandamano ya Wakristu.
Inamaana wao hawapati shika ziwapatazo waislam??? Au kunani
hapo?
Kwa upande wangu wangeachwa
waandamane wakimaliza watarudi nyumbani.Kwani kushinikiza ni lazima huyo
shekhe Ponda atolewe? Kwa kuwakatalia ndio matatizo yanapoanza wawape
nafasi waandamane basi siku yao imeisha,na POnda bado atakuwa yupo
rumande,wakifika Polisi au Ofisi za Wizara ya Mamabo ya ndani wataelezwa
ukeli kwamba shekhe Ponda ana kesi ya kujibu,na viongozi wao
watawahutubia na kuwaelekeza kama ni sahhihi kuandamana au
lah!:confused2:
Serikali isisahau pia
kuzuia maandamano ya Chama cha Kikristo CHADEMA pindi watapofanya
maandamano yao ya fujo na vurugu huko Arusha na Mwanza!
Tusishabikie kwasababu ni waislamu wananyimwa kuandamana suala la kuandamana unapaswa kutoa taarifa tu polisi na sio kuomba ruhusa kazi ya polisi hapo ni kulinda hao watu wasivunje amani inatakiwa wapewe ulinzi mzito sana kudhibiti pindi watakapoleta vurugu
True. Tunaongozwa na Yesu, ambaye ndie Kristo
Na huko kuna watu wenye akili timamu kwa hiyo haliwezi kutoka agizo la kipuuzi
Yes indeed! Kiongozi wao ni marehemu. Alishakufa na kuzikwa. Zimebakia kumbukumbu za maisha yake na ndoa zake na vita vyake
Kwa tafsiri ya kiswahili 'NYUMBA YA KAMBALE' kila mtu ana ndevu, haijulikani nani baba, mama wala binti, kila mtu ana sharubu. Leo Ponda kasimama anasema Mufti Kaffir, kesho Mufti anasema Ponda ni muhuni tu. Matamko yanapishana kama inzi chooni (nawapongeza kwa uhuru na demokrasia yenu na ndio maana mmeendelea sana)
Sheikh Sulman Rushdie tu ndio alikatazwa, wengine wanaruhusiwa.
Hapa sasa ndio umeongea upuuzi Mkuu. Sio wazungu, ni viongozi wa Kanisa. Na kwetu aliye mdogo ndie mkubwa mbele za Mungu, Pope ni Mtumwa wa Bwana kwa watu wake, ameyaacha maisha yake na kuwa mtumishi wa Mungu aliye hai.
Kwa faida yako: Yesu alilikabidhi KANISA lake kwa Petro (Petrus I, Baba Mtakatifu wa Kwanza) na tangu hapo hatujawahi kugombania kanisa wala jengo la kuabudia kiasi tupigane mabomu ya makalio kama tulivyoona Arusha juzi.
Naamini Marehemu Mohammad hakufanikiwa kuacha uongozi, ndio maana leo matamko na matamshi yanapishana. Washia na Wasuni wanauana, mawahabi wanataka kumtoa mufti ofisini na kadhalika. Endelea kujivunia ujinga, hii ndio namna mnatuonesha ukubwa wa imani yenu kwa kuuana.
tujifunze kuwa na hofu ya MUNGU jamani ndugu zangu,tujifunze UPENDO kila siku inapoitwa leo na kuutenda kwa vitendo.si lazima kuandamana ndio usikike katika jambo loote.IKO WAPI AMANI YETU YA KWANZA??????????????
Shhhhhhhhh mfumo ni kristu uandamane unataka nini tena nyamaza kimya siku mfumo islamu ukianza tutaandamanaToka nizakiwe mpaka nafikisha miaka sasa 30 sijawahi kusikia maandamano ya Wakristu. Inamaana wao hawapati shika ziwapatazo waislam??? Au kunani hapo?
wajibu wao ni kupewa taarifa na kisha kuja kulinda na wao hawana haki yoyote ya kutoa maelekezo,kanuni,utaratibu na ikibidi kuzuia? hivi mfano ikitokea kudi la watu 1000 linaandamana kutoka ubungo(likiwa na watu wenye nia njema na wenye nia mbaya)lingine la watu 100000 kuroka mwenge,lingine kama hilo limefunga tazara na halina mpango wa kuondoka,kariako na kila mahali hivyohivo mikoa yote,wajibu wa polisi unaishia kwenye kwenda kuwalinda tu?Umashine unatokea wapi hapa sasa? Si wanatakiwa kutimiza wajibu wao?
wajibu wao ni kupewa taarifa na kisha kuja kulinda na wao hawana haki yoyote ya kutoa maelekezo,kanuni,utaratibu na ikibidi kuzuia? hivi mfano ikitokea kudi la watu 1000 linaandamana kutoka ubungo(likiwa na watu wenye nia njema na wenye nia mbaya)lingine la watu 100000 kuroka mwenge,lingine kama hilo limefunga tazara na halina mpango wa kuondoka,kariako na kila mahali hivyohivo mikoa yote,wajibu wa polisi unaishia kwenye kwenda kuwalinda tu?
Shhhhhhhhh mfumo ni kristu uandamane unataka nini tena nyamaza kimya siku mfumo islamu ukianza tutaandamana
hivi unajua maandamano ndani yake yana mamba,kenge na mende?Hayo hayatakuwa maandamano it's something else
hivi unajua maandamano ndani yake yana mamba,kenge na mende?