Maandamano ya waislamu Kariakoo!

Maandamano ya waislamu Kariakoo!

Status
Not open for further replies.
Acha uzushi wewe mie nipo Kariakoo mtaa wa msimbazi na mvua inanyesha hakuna maandamano yeyote.
ilikuwa dakika chache kabla ya mvua kuanza, kwa sasa imekata

Kwa sababu walikuwa wanatokea msikiti wa Mtoro na Idrisa!!!!
Location ya hiyo misikiti sidhani kama unaijua,...then waandamanaji wanaelekea msimbazi,..ndugu yako alieona yuko sokoni,..
huo uanaoleta wewe ni ungese.

Hivi tunabishania nini kana kwamba kuna mgombea urais hapa Ritz alishaaibika mara kibao haogopi aibu huyo jamani achaneni naye kila mara anakimbia kivuli cha CHADEMA.

Mkuu umem-misread, amesema 'wameelekea barabara ya Msimbazi'

Nakushauri ujenge hoja kuwa kama wameelekea msimbazi, huenda ni mashabiki wa Simba wanaenda kumtoa Rage/Kaburu madarakani

asanteee!

Location ya hiyo misikiti sidhani kama unaijua,...then waandamanaji wanaelekea msimbazi,..ndugu yako alieona yuko sokoni,..
huo uanaoleta wewe ni ungese.
Madrasa ulifundwa kutukana au kujenga hoja?jenga hoja hakuna tusi jipya hapa duniani na wala usijifanye mjanja,mimi ni mzoefu wa wajinga kama wewe!!!

Hiyo misikiti ipo mbalimbali naona umeamua kujifurahisha. Dawa yenu ipo jikoni tutakutana kwenye box la kura mwaka 2015.

watu tunawaza kujenga taifa wewe ujawaza kula

By aduwilly

Mkuu umem-misread, amesema 'wameelekea barabara ya Msimbazi'

Nakushauri ujenge hoja kuwa kama wameelekea msimbazi, huenda ni mashabiki wa Simba wanaenda kumtoa Rage/Kaburu madarakani

Wewe ndio jenga hoja amejuaje kama wanaelekea msimbazi wakati yeye yupo sokoni mtaa wa swahili, kabla ujafika msimbazi unapita mitaa mitano labda walikuwa wanaelekea Congo au Narung'ombe.
mkuu mimi nipo sokoni - mkunguni, bara bara ya msimbazi inaonekana kwa uzuri

Madrasa ulifundwa kutukana au kujenga hoja?jenga hoja hakuna tusi jipya hapa duniani na wala usijifanye mjanja,mimi ni mzoefu wa wajinga kama wewe!!!
Huko unakoenda wewe mnafundishwa kusema uongo na chuki dhidi ya uislam??

madrasa ulifundwa kutukana au kujenga hoja?jenga hoja hakuna tusi jipya hapa duniani na wala usijifanye mjanja,mimi ni mzoefu wa wajinga kama wewe!!!

aisee uyasemayo yanalandana kinomanoma na sura yako,,lol

Wamezidi sasa.....
Au imeshakojolewa tayari.......!

Takhibirii waislam!, mwenzi mungu alihubiri njian akifuatwa na umati mkubwa wa wa2! Mcogope

wamerudia tena??? kuna nini tena mpaka waanze kukurupuka nini tena

mkuu mimi nipo sokoni - mkunguni, bara bara ya msimbazi inaonekana kwa uzuri

Labda uwaambie mapimbi ndio watakuelewa, mkunguni sokoni huwezi kuiona barabara ya msimbazi saa 7 mchana, kwanza hapo mkunguni sokoni pamejaa daladala za mwenge, mkunguni/msimbazi napo pamejaa tax na daladala za manzese...acha kamba wewe.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom